Why kokoro imewah 1mil view kuliko Muziki ya darasa

wanaoongoza kwa kuwaongezea views wcb ni timu pinzani wimbo ukitoka tu wenyewe ndio wakwanza kuuangalia ili wapate kitu cha kukosoa mpaka wanajikuta wanaangalia hadi mara 10 lakini hawapati kitu cha kukosoa chakushangaza ndio wakwanza kusema wcb wananunua views Hahahaha
 
Very true
 
kazi kweli kweli.. wabongo sisi tuna roho ya peke yetu
 
Fun base atawapatia wap ka cc mashabiki tulishanza kumuundia team pinzani
 
najalibu tu kuwaza kwa sauti, kama darasa angekuwa na management kali kama wcb angepiga huenda hela si mchezo.
lakini nadhani inabid wasanii wajifunze umuhimu wa kuwa na management nzur
 
Umemaliza kila kituu. Nyingine ni story tuu
 
Nahisi ngoma ya darasa inatrend sana hapa Tanzania ila kokoro inapata views wengi kwa sababu ya mazoea ya watu wa hapa nchini na nje ya nchi kuangalia kila nyimbo ya WCB inapotoka so views cyo kipimo cha nyimbo kuwa kali
 
Hapa ni suala la management, angekuwa na management kama Rockstar ya Ali kiba angekuwa mbali sana
hao rockstar wamemfikisha wapi kiba? wanamuacha jide anaranda randa tu km omba omba sasa hivi...
 
Naona watu wanapita pembeni mwa ukweli!!jibu ni kwamba diamond na wenzie wanaiba views YouTube ova!!
 
Huyo tunamjua ni mtaalam wa kununua viewer,full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…