Why kokoro imewah 1mil view kuliko Muziki ya darasa

Ukishatambua diamond ana exposure kuliko darasa utafunga bakuli lako.
 
YouTube ata ukiangalia mara kumi inahesabika view moja otherwise utumie computer au simu kumi tofauti.
 
Kutaka kumshindanisha huyu mjomba na wanamuziki wengine hakuleti maana yoyote. Acheni watu wote wafurahie muziki wake badala ya kumuwekea boundaries ya mashabiki.
 
Darasa katisha sana lakini bila shaka fan base ya wcb inatisha zaidi
 
Unaweza ukatukana ukawa na views nyingi ukilinganisha na aliyehubiri

Muziki mzuri hauhitaji promo cox unajipromo wenyewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
"Kumuelewesha chizi utajipa kazi" hii ngoma ina maneno mazito sana
 
Ulitaka ichelewe?
 
Ngoma la darasa ni hatar kwanza lenyewe halitegemei video audio tu inapaisha sio hzo takataka mpaka utumie nguvu, kizur chajiuza
 
Nyimbo ya Darasa mwisho CHALINZE
Kokoro mwisho UBUNGO.. apo ndo utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…