Why...kwaniniii...?

Why...kwaniniii...?

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
2,469
Reaction score
284
Najiaminisha kuwa mwanaume na mwanamke wakikaa siti ya mbele ya gari.... asilimia kubwa huwa ni wenzi/wapenzi...
huwa najiuliza; kila nikipiga chabo toka kwenye benzi la mwaibula(daladala) na kubahatika kuona hizo 'kapo' mara nyingi huwa WAMECHUNIANA..!!

Hii inamaanisha nini?!!
 
Watu wengi wakikaa pamoja kwa mda mrefu hata kama sio wachumba story huwa zinapungua sana, au mmoja wao anakua hana story sana ni mtu wa kuuchuna
 
Watu wengi wakikaa pamoja kwa mda mrefu hata kama sio wachumba story huwa zinapungua sana, au mmoja wao anakua hana story sana ni mtu wa kuuchuna
Kuna heri tna hapo...?
 
washaongea mengi hme/njiani,mipango haipangwi barabarani,kimada hawana mda wa kuongea mengi sana wachache wenye malengo nao wengi ni utumiaji tu kama tissue paper,so wanapokuwa njiani lazima waongee ushwaitani wao wote kabla ya kufika eneo la kazi.
 
ukiona hawaongei hawna mazungumzo kila mmoja anawaza maisha ya baadae
 
nahic huko chini ya mapaa walikotoka ... c kwema!
 
wameongea usiku kucha,hivyo hawana stori tena
 
We hujaona hata wengine unafahamu kabisa ni wapenzi/wanandoa kwenye magari yao lakini wamenuniana mbona ni kawaida tu stori huwa zinaisha...
 
Back
Top Bottom