Najiaminisha kuwa mwanaume na mwanamke wakikaa siti ya mbele ya gari.... asilimia kubwa huwa ni wenzi/wapenzi...
huwa najiuliza; kila nikipiga chabo toka kwenye benzi la mwaibula(daladala) na kubahatika kuona hizo 'kapo' mara nyingi huwa WAMECHUNIANA..!!
washaongea mengi hme/njiani,mipango haipangwi barabarani,kimada hawana mda wa kuongea mengi sana wachache wenye malengo nao wengi ni utumiaji tu kama tissue paper,so wanapokuwa njiani lazima waongee ushwaitani wao wote kabla ya kufika eneo la kazi.