Why ladies mnapata shida sana kuishi single without relation?

@Thread starter, ukiwaona wamekasirika ujuwe kuna ka ukweli flani.
 

hujaumbwa kuwa MPWEKE..usiikane asili!!
 
@Thread starter, ukiwaona wamekasirika ujuwe kuna ka ukweli flani.

Co kwamba tumekasirika walan ini... suala ni kwamba kamuona huyo mdada m1 tu afu ana-generalize wadada wote. c tunamwambia ukweli kwamba furaha ya mwanamke co kuwa katika uhusiano kwani mahusiano ya watu wengine huwa wapo kama hawapo wengine wanashindwa kabisaaa kutoka mpk unamuuliza hivi wewe mbona unamng'ang'ania huyo wakati anakucheat/ akaupiga/anakudharau but wamo tu co kwamba wanafuraha wala nini........ mf. katka fb wengi unakuta wameendika kwenye r/ship status zao - complicated.. we unahisi ni kwanini. ni kwa sababu wapo katika mahusiano ila hawajielewi wanasonga mbele au wanarudi nyuma... hope umenipata mkuu!!!!!
 
wakina mama mbona mnajibu kwa hasira sana hii ni mada tu jamani toeni mawazo hatugombani hapa!
 
Mwanaume hawezi kuchanganyikiwa kuwa single kwa sababu ni maamuzi, ameamua mwenyewe.

Ila kwa mwanamke katika hali ya kawaida ni lazima asubiri wa kumtamkia kuwa anataka kuishi nae milele (kuoa) sasa kama hatokei na yeye anataka iwe hivyo lazima achanganyikiwe. Hiyo ni dunia nzima hakuna mwanamke anaye propose ,labda kutakana tu kwa kawaida kwa ku past time.

Sasa kama nataka kuolewa na wa kutangaza nia simuoni lazima nichanganyikiwe.

wakina mama mbona mnajibu kwa hasira sana hii ni mada tu jamani toeni mawazo hatugombani hapa!
 
Wanaosumbuka hasa ni wale ambao walikuwa ndani ya mahusiano wakayafurahia the yakavunjika, hawa huwa wanakuwa na wakati mgumu kuwa peke yao
=napita=
 
I am soooo single and verrrrrrry happy so usitujumlishe wote kabisa
 
Napita msinipige na hayo maweee, lol.
Ebwana sikunyingine angalia unapopita humu usikanyage nyanya za watu, watakuuwa. Umepiga pabaya.

Kunawachangiaji kama wawili hivi imewagusa ile personal majibu yao nimajibu kwa upande mwingine pia.
lalakucheni.
 
aaaah wap ni huyo huyo.wengine masingo huu mwaka wa tatu na maisha kama kawa yanasonga:glasses-nerdy:
 
Hakuna aliyekamilika peke yake,kila mtu anahijtaji mwenzi wake. Kila anayekosa mwenzi lazima awe frustrated tu though we differ on how we express our frustrations
 
huyo mwanamke uliyemuona ni mmoja so hajumuishi wote.... then i think sio mzima itabidi umpeleke mental hosp.
 
Mimi naona kama hajiamini at 27yrs analialia kwa kukosa bwana, tumeona wangapi wanazeeka but still wako happy and live their life. Watu wa aina hii huwa wenzao wakiolewa wanaweza hata kukata mawasiliano au kufa kwa donge!
 
Huyo mdada anatamani sana kuolewa na ameiweka sana akilini mwake ndio maana unamwona katika hali hiyo...ila hicho sio kipimo cha kuthibitisha kuwa wadada hatuwezi kukaa single .

mwanamke alitoka ubavuni kwa mwanaume yaani bila mwanaume mwanamke asingeubwa ila mwanaume aliubwa for God image.mwanamke anaestahl kuolewa akifiksha uwo muda kama anajitambua na ajaolewa lazma itamsumbua akilini.kama Mungu angetaka uwe single angekuumba mwanaume ila kama umeubwa mwanamke kuolewa ni lazma na kuzaa.si unakufa na sir name uliyozaliwa nayo agrrrrrrhh
 
Huu mwaka wa sita sasa, maisha mwemwele mwemwele.......hata mpango wa boyfriend sina kabisa!!

bora ungezaliwa men ! Ila wanawake wanaokuwa single adi katika utu uzma wao wanaroho mbaya,ki buri,jeuri ,dharau,wabish, majivuno na hasira .
 

Mwanaume 'aliyekuharibu' wewe na ashindwe milele!
 
bora ungezaliwa men ! Ila wanawake wanaokuwa single adi katika utu uzma wao wanaroho mbaya,ki buri,jeuri ,dharau,wabish, majivuno na hasira .

Mkuu kasheshe ni pale sasa anapokuwa ndo Boss hapo ofisini............haki ya Mungu vidume mtajuta kwa nini hakuolewa huyu!
 
Mimi naona kama hajiamini at 27yrs analialia kwa kukosa bwana, tumeona wangapi wanazeeka but still wako happy and live their life. Watu wa aina hii huwa wenzao wakiolewa wanaweza hata kukata mawasiliano au kufa kwa donge!

Kutojiamini kunaendana na kutendwa kulikopitiliza. Kuna vidume anamvuruga mwanamke hadi ile kitu haitamaniki kabisa halafu huyooooooooooo anachapa zake lapa. Sasa mdada ikishamtokea hvi mara 3 au zaidi unadhani atatamani tena mwanaume hapo. Na hayo machozi unayoyaona akiyatoa ni machungu tu ya hofu aliyonayo juu ya wanaume.
 

Umenikumbusha mishemishe za kina dada wanapokaribia kumaliza maisha ya chuo kikuu, huwa wanakaba hadi kivuli aiseeeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…