OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Mwanaume hawezi kuchanganyikiwa kuwa single kwa sababu ni maamuzi, ameamua mwenyewe.
Ila kwa mwanamke katika hali ya kawaida ni lazima asubiri wa kumtamkia kuwa anataka kuishi nae milele (kuoa) sasa kama hatokei na yeye anataka iwe hivyo lazima achanganyikiwe. Hiyo ni dunia nzima hakuna mwanamke anaye propose ,labda kutakana tu kwa kawaida kwa ku past time.
Kutojiamini kunaendana na kutendwa kulikopitiliza. Kuna vidume anamvuruga mwanamke hadi ile kitu haitamaniki kabisa halafu huyooooooooooo anachapa zake lapa. Sasa mdada ikishamtokea hvi mara 3 au zaidi unadhani atatamani tena mwanaume hapo. Na hayo machozi unayoyaona akiyatoa ni machungu tu ya hofu aliyonayo juu ya wanaume.
Mkuu kasheshe ni pale sasa anapokuwa ndo Boss hapo ofisini............haki ya Mungu vidume mtajuta kwa nini hakuolewa huyu!
Purple - Daima ukiona mtu anashindwa kujibu a simple question straight jua hapo there is a questionable something. Wewe unaonesha hujawahi kukaa mda mrefu..that doesn't matter what matters is how far i can go-forever if necesary!
Njoo ufanyiwe maombi!Huu mwaka wa sita sasa, maisha mwemwele mwemwele.......hata mpango wa boyfriend sina kabisa!!
Heshima kwenu brothers and sisters,
Why ladies mnapata shida sana kuishi single without relation kwa muda mrefu? I have a workmate and friend of mine ambaye inshort ni mzuri, but huyu sister ananishangaza sana as kuishi bila relation kunamchanganya sana while she is just 27, yaani kuwa lonely kunamnyima raha kiasi hata sometime unakuta analia on her table ukimuuliza hana majibu ya kutosha, hivi hii inakuaje as she has everything tunazo wish kuwa nazo, as good first job with a nice salary to her, nice car, and so on.
But kuwait for a right person kunamchanganya sana na hasa her friends wanavyoolewa daily, nimeisema hii has imenigusa sana j mos tulikuwa kwenye harus ya friend ghafla akaanza kutoa machoz na kutaka kuondoka bila sabab za msingi hadi mama mmoja akamtoa nje kumliwaza, hii inakuaje wadada mnisaidie, mbona guys wengi tu naowajua hawapo kwenye relations but wana furaha and they have fun a lot but ladies inakuaje?
na ngono unaweza kuipata anytime tena na faida juu
Njoo ufanyiwe maombi!
bora ungezaliwa men ! Ila wanawake wanaokuwa single adi katika utu uzma wao wanaroho mbaya,ki buri,jeuri ,dharau,wabish, majivuno na hasira .