Why Lulu?

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,615
Reaction score
545
Wadau kuna kesi nyingi tulizowahi kusikia za mauaji yawe ya bahati mbaya au makusudi....na jinsi kesi hizo zinavyoendeshwa kwa hapa Tz, mtu anaweza kukaa rumande hata miaka miwili kesi imetajwa mara 1 au 2...kwa jinsi hii kesi ya Lulu inavyopelekwa huenda hukumu itatoka haraka sana, Swali ni je! kwa nini kesi ya Lulu ipelekwe haraka wakati kuna watu Lulu kawakuta mahabusu kwa kesi kama yake wanasota na kesi zao haziendi faster?? au ndo yale yale kuna watu wanaendesha mahakama zetu wakiwa maofisini mwao??...
 
Kama nilimsikia vizuri kamanda alisema hiyo case in public interest,hivyo watajitahidi kufanya haraka, ili haki itendeke!
 
Kama nilimsikia vizuri kamanda alisema hiyo case in public interest,hivyo watajitahidi kufanya haraka, ili haki itendeke!

mkuu hizi nyingine sio watanzania huwa wanauliwa?
 
ni kwaajili ya public interest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…