Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

Status
Not open for further replies.
Nasikia wameshapitia watu fulani wasiwe na uwezo wa kushtakiwa


Edit: kumbe hii nyuzi ni ya kizungu tu
Umeeleweka
Sidhani kama lengo ni hilo. Ukiukwaji wa haki za binadamu unafanywa na taasisi siyo mtu binafsi hivyo kumshtaki Mwanasheria Mkuu ili kudai hiyo haki ni utaratibu sahihi. Hata huko nyuma AG ndiye hujibu mahakamani kwa niaba ya serikali

Tatizo tu ni mwanasheria mkuu kujibu khoja za ukiukwaji wa haki za binadamu za spika na naibu wake na Jaji Mkuu hiyo ndiyo khoja ya ukiukwaji kwa katiba kifungu vya kuondoa muingiliano wa dola tatu

Tatizo ni uhalifu binafsi kama kabaka, kaua au kaiba Mwanasheria Mkuu uhalali wake wa kumnyima mtuhumiwa spika au naibu wa spika au Jaji Mkuu haki yao ya asili ya kujitetea anaitoa wapi? Wakihukumiwa kufungwa bila wao wenyewe kushtakiwa ni nani atafungwa yaani ni upuuzi usiyo na kifani

Hivi spika na naibu wake na jaji mkuu wanawezaje kukiuka haki za binadamu kwanza wanazo kinga tayari kwa kutekeleza majukumu yao.

Sasa hii kinga ni dhidi ya matendo binafsi jambo ambalo ni hatari sana kumlinda mtuhumiwa hata kosa hajatenda

Hii sheria nionavyo ni ushauri mbovu wa huyu Mwanasheria Mkuu kaleta sheria isiyo na mashiko
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…