zittokabwe Kuhusu Ombi la Mkoa wa Dar es Salaam kutaka nigombee Urais; “Mimi kama mnavyofahamu nilichaguliwa na watu wa Kigoma Mjini kuwawakilisha kwahiyo ni lazima nirejee Kigoma nizungumze na wanachama na viongozi, tukubaliane kisha niseme ni nini tunaenda nacho kwenye uchaguzi mkuu"