Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #26,361
Timing ya Gwajima ni ubunge hana jipya na hakuna kicheko hapoDunia inakwenda kasi sana. Tusiwaamini sana wanasiasa. Miaka michache tu iliyopita Makonda na Gwajima walikuwa wanashindana kuchafuana kwenye vyombo vya habari, leo hii wanakutana na kucheka pamoja. Likewise Gwajima alimtusi Askofu Kardinali Pengo, leo kapiga nae picha na yameisha.