Nakumbuka mtihani wa la saba unaanzaga kama masikhara hivi!
1.19+87=
2.219-45=
3.12x34=
4.59÷7=
5.3 ⅝+7 ⅝=
6.________
Halafu huko mbele sasa kuanzia swali la 27 hivi, utajutaa:
*Ndege inatoka Dar saa tatu kwenda Chato. Land cruiser VX linatoka Chato saa nne kwenda Dar. Ikiwa spidi ya ndege ni 350km/saa na ya Landcruiser VX ni km220/Saa, Na umbali wa Chato-Dar ni KM 900, zitakutana saa ngapi??*
Sasa mimi nitajuaje??
[emoji1493][emoji1493]
Na hizi tochi zote barabarani na matuta, kuchimba dawa, kunywa chai ?!?(Traffic jam) foleni, kununua viazi Gairo[emoji57]???
Mtihani mwema wanangu wa darasa la saba. Mungu awasaidie sana!
Sent from my SM-A715F using
JamiiForums mobile app