Mwanangu anasoma UDOM. Ana uongozi kwenye UVCCM hapo chuoni. Amerudishwa nyumbani kutibiwa. Yeye anahisi amepewa sumu na wenzake. Kabla ya uchaguzi aliitwa na wenzake kule Mji wa serikali Mtumba Dodoma. Walifungiwa siku tatu kwenye ghala. Humo walikuwa na kazi ya kujaza kura milioni 8 za CCM. Walipomaliza walizipakia katika maroli ya polisi kwenda kila mkoa. Sasa wameanza kutuhumiana kutoa siri na kuanza kuuana. Mimi mwanangu harudi. Nitamtafutia shule nje ya nchi.