VYUMBA vya kuhifadhia maiti katika hospitali za Muhimbili, Ilala na Mwananyamala jijini Dar es Salaam vimefurika. Taarifa hizo zinahusu Hospitali ya Mount Meru jijini Arusha. Uchunguzi wa siku tano uliofanywa na SAUTI KUBWA ndani ya hospitali hizo za rufaa, umethibitika pasipo shaka kuwa idadi...