MKUU wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya, ambaye amekuwa anatuhumiwa na kuhusishwa na matendo kadhaa ya kijambazi, sasa ametuhumiwa kumshambulia Diwani wa kata ya Sombetini, jiji Arusha, Bakari Msangi, Februari 9 mwaka huu. Katika tukio hilo, Sabaya aliambatana na walinzi wake binafsi sita...