Ni aibu nchi ya viwanda tena ya uchumi wa kati kuwa haina umeme wa kutosha...
Kwenye nchi zinazojielewa wengi kuanzia waziri, manaibu na maafisa waandamizi wangekuwa wamejiuzulu lakini hili ni shamba la bibi ukivurunda kama Mwinyi Jr unapandishwa cheo