Kauli tata za CCM
- wewe DED nikuteue mimi, nikupe mshahara, nyumba na gari khalafu utangaze matokeo kuwa kwenye jimbo lako nimeshindwa uchaguzi- Hapakazitu
- Hata msipotuchagua tutaunda serikali - Makamu
- Tunatumia dola kukamata dola - Bashiru
Halafu mtegemee karama za Mungu wangu thubutu...