Write in Englishnaona kimya leo mitaa hii
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Write in English
Yuko ana test mitambo kwanza atakuja, muwe wavumilivu kidogo [emoji23]Sijui Rutashubanyuma atakuwa katika hali gani?
wandugu mliosomea hii lugha ya malkia?Hapa wapi, ni Yorkshire wanajadili Pombe anafanyaje, msaada wandugu mliosomea hii lugha ya malkia!
wakitoa jibu nitagiWhy this administration misses the point on government splurge? No answers yet!
Haha, huyu hafichiki ana kelele kama kasuku.Unakuta na yeye amefichwa mahala pasipo fahamika.
Labda majukumu mkuu, anaweza akawa anapambana kivingine.Mbona haonekani? Pamoja na matukio yote haya yanayofanywa na serikali?
Nakusalimia ndugu yangu[emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji780] [emoji780] [emoji780] [emoji780]I beg to differ. In Tanzania we have the necessary policy and institutional framework to move the country forward successfully. The missing link for many years has been effective supervision or unyampara if you like. Magufuli is doing just that and in the first 100 days in power, he will have defined his leadership style and expectations for all to take note, not only for the digestion of those already in government service and others who aspire to work with him in cabinet or high government offices, but all wananchi and the international community. It needs a courageous and committed leader like Magufuli and an equally committed team, exemplified by Ndugu Majaliwa, to spearhead such a systemic cleansing of the government machinery so that it can deliver to the expectations of the Tanzanian masses -not a small political and economic elite . The country has been lacking a national leadership with the needed political will to sort the rot out, now thanks God we have Magufuli and Majaliwa( double M). Magufuli is now the talking point across the globe and helping to brand Tanzania positively, making us Tanzanians feel proud once again.
Huyu Nabii anasubiri wakati uthibitishe maono yakeSijui Rutashubanyuma atakuwa katika hali gani?
Lakini Nabii hakubaliki nyumbani kwakeHuyu Nabii anasubiri wakati uthibitishe maono yake
Huyu Nabii anasubiri wakati uthibitishe maono yake
What I know is without justice there is no development because the land is accursed for our own sake
Why this administration misses the point on government splurge? No answers yet!
Tope kulirundika Stigler Gorge naona ndo kipaumbeleTatizo letu hatuna vipaumbele
Mmomonyoko wa udongo kwa Kilimo sesa ndicho kinakataza faida Za mabwawa ya kuzalisha umeme. Lakini kambale watajinoma ili mradi waturuhusu kuwavuaTope kulirundika Stigler Gorge naona ndo kipaumbele