Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

Status
Not open for further replies.
You made my new year

Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you.
Kuna watu wana akili sana lakini kutokana na unafiki wa kisiasa wanafanya/kuongea mambo ya kijinga mpaka unashangaa kuwa huyu ndiyo yule scientist na philosopher tunayemfahamu hapa jf?
Siasa inapofusha watu kijinga kabisa.
It is so disappointing. Very disappointing.
CC: Kiranga
 
Breaking News


Tundu Lissu kulihutubia baraza la umoja wa mataifa tarehe 23/1/2019


Taarifa zinasema Tundu Lissu amepewa heshma maalum kulihutubia baraza la umoja wa Mataifa akiwa mbunge aliepitia mkasa mzito

Ataelezea siasa upinzani barani Afrika kwa rejea ya Tanzania kwa kipindi cha miaka 3 iliyopita .


Wakati huo huo mh Lissu atakuwa na mazungumzo maalum na Baraza la vyama vya siasa dunia vyenye mlengo wa kati

Baada ya hapo atakwenda kuzungumza na rais mstaafu wa marekani Baraka Obama akiambatana na mkewe katika ziara hiyo maalum


Soma www.usa.democratization.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vipaumbele ndivyo vinaamsha hisia kali. Msukumo wa miundombinu ni wa wasaka tonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Ruta must be smiling from ear to ear. Finally, the two of you are beginning to see an eye to an eye [emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]
Rutashubanyuma have said it all, that the Tanzanian leadership need a critical self evaluation. Finally I do agree with his view on the Magufuli administration.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hutoi mifano hai
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti za kuoni hupaswi kushangaa bali kukiri tuko tofauti kimalezi, kimazingira tuliyolelewa
We angalia wengi ambao wameshajichagulia vyama vyao. Hapa nazungumzia pande zote. Wafuatile wakiongea vitu tofauti wanavyokuwa bright kisha fuatilia comments zao kwenye siasa, utashangaa.
NB: Hii ni kwa pande zote japo kuna waliozidi unafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
While slogan will make citizens happy and satisfied, it will take strong policies and management to make Magufuli's era different from the previous leadership.
 
Tofauti za kuoni hupaswi kushangaa bali kukiri tuko tofauti kimalezi, kimazingira tuliyolelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna neno sijalielewa(typing error)
Ila sidhani kama huu unafiki wa kisiasa ni malezi. Nadhani ni kitendo anachoamua mtu kukifanya kwa makusudi na malengo yake.
Huwezi amini kuwa kuna kauli fulani inaweza kutolewa na mtu fulani wa elimu fulani au umri fulani ila kwenye siasa inawezekana.
 
Mifano hai ingelinielimisha zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…