Never say no to money don't you need it for campaigns?
Imedhibitishwa kwamba Chadema ilimlipia Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa jumla ya TZS 40M anazodaiwa kama faini katika mashtkaka yanayomkabili kabla Rais John Pombe Magufuli hajamlipia kiasi cha TZS 38M. Taarifa zinaonesha kuwa Rais JPM alilipa fedha hizo saa 14:40 mchana wa leo, lakini tayari Cahdema walikua wamedeposit kiasi anachodaiwa Msigwa saa 14:26 (yani dakika 14 kabla wasaidizi wa Rais hawajafika mahakamani). Chadema imemshukuru Rais kwa moyo wake wa kutaka kumsaidia Msigwa lakini wameiomba mahakama kumrudishia fedha zake, ili zitumike katika shughuli nyingine za maendeleo.!
Sent using
Jamii Forums mobile app