sika
Member
- Oct 5, 2009
- 21
- 0
Mambo vipi wana JF.
Naombeni ushauri wenu nilikuwa na demu wangu ambaye tulipendana sana ila siku moja ilitokea missunderstanding kati yangu na yeye ambayo ilisababisha mawasiliano baina yetu, hivyo kunipelekea mimi kutafuta demu mwingine wa kunipooza machungu
Chanzo cha haya matatizo yote ni huyu demu mwingine kwani alishawahi kuniambia endapo nitakuja kumwacha ataniloga niliamini hvyo kwn kuna cku moja nilimkuta na hirizi ambapo nilipomuuliza aliniambia alipewa alipokuwa anaumwa, nikamuuliza si umeshapona vp bado unayo akanipa maelezo ambayo hayakuniridhisha na hivyo kuamua kumuacha kwa kumwambia kuwa naomba muda wa kuwa peke yangu, akaniuliza kuwa niesharudiana na demu wangu wa awali, nikajibu hapana. Lakini ukweli ni kwamba nimerudiana na demu wangu.
Tatizo ni kwamba tangu nirudiane na huyu demu wangu nimekuwa nashinwa kwenda round tatu. Je, yawezekana yule demu ni kweli ameniloga? Nilishampiga stop kuwasiliana na mimi kwa kuhofia kunigombanisha na demu wangu, lakini kwa sasa natamani nimuombe msamaha kama ni yeye kweli lakini nashindwa jinsi ya kumuanza
So wana JF naombeni ushauri wenu kwani naumia kisaikolojia.