ila ukweli ni kwamba most of them wako cheap sana mazee... buku 40 unakula maisha kwa raha zako sasa asura ana niganda wewe papuchi hanipi kila siku anataka pay usawa wenyew hu si bora nika mchukue bolibo ambiance .. na nikiwa sina ananikopaSome are expensive!!
Bia za reds sijui savana, chips kuku, saluni za ghali na nguo za boutique.
Umeaniacha hapo NgabuSome of us chase checks and not bitches.
Ndio nataka kuifahamu, ili nami niitumie kwa wangu.Wana namna yao hao ambayo kila mwanaume anaijua
Wanaume wanamfuata sn au yy ndio anawafuata?Wanajulikana!!
Tabia zao za zoazoa zipo wazi...mavazi yao pia yanaonyesha.
Yaani kuna wadada asione mwanaume mbele yake......!!
Ndio nataka kuzifahamu hizo advantages!!Bitches when it comes to bed.....wanacomparative advantage nyingi
Hapo nimeandika tayari.They Listen, they know their position
Sio mimi mkuu.So hamtakagi usumbufu??
Kajaribu mkuu.... Ila sio Hawa cheap. Nenda kwa expensiveNdio nataka kuzifahamu hizo advantages!!
Tafadhali funguka??
Wana MMU
Salama wakuu!!
Kwenu nyie wanaume naomba mnisaidie why do you prefer bitches??
Nimekua nikiona wanaume wengi pamoja na kutambua dada fulani ni malaya lakini mmekuwa mkipigana vikumbo kuwafatilia tena sio kwa one night stand bali kwa mahusiano ya muda tu.
Huwa nawashangaa mnapowasemasema lakini mmo tu[emoji3] [emoji3] [emoji3].
Nimejaribu kupitia kitabu cha Sherry Argove cha WHY MEN LOVE BITCHES bado sijamwelewamwelewa.
Mnisaidie basi kuweni wa wazi mnawapendea nini kwao tujifunze basi ili tutumie kwa waume zetu wasiwakimbilie hao bitches!!!
Wapo wanaojipeleka kwa mavazi yao na ishara kabisaaaWanaume wanamfuata sn au yy ndio anawafuata?
Wanawake mna roho ya huruma
Hahaha unataka kujua siri za kambi ya kiumeni ama???Ndio nataka kuifahamu, ili nami niitumie kwa wangu.
Siwezi kujitia [emoji6]Wapo wanaojipeleka kwa mavazi yao na ishara kabisaaa
Pia wanaume huwa wanawafata pia.
Usijitie hujui bana!!
Ndio maanakeHahaha unataka kujua siri za kambi ya kiumeni ama???
Ndio useme hapa jamani!!Wanajua nini wanaume tunataka
Ha ha haSiwezi kujitia [emoji6]
Nkuulize kitu lkn uwe mkweli