Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
- Thread starter
-
- #81
Ha ha ha haTofautisha honey....Mke ni Uhai wa familia
kunatofauti kati ya personal interest na public interest .....personal -mine, publick for anybody
Anaitwa wife material not Bitch
-Special case
-Not shared
-Property inheritance and behaviour passover through generation
-Intellectual oriented not necessarily secure on sex na malavidavi
-Someone who foresee lifestyle and future expectations for the husband & children benefits not sex exitiment only
-Someone reliable both mentality and physically not only sex oriented brain
Hehehe like the way you'r to me !!Ha ha ha ha
You are too good!!
Kuna mwanamke asie malaya sasa?Wana MMU
Salama wakuu!!
Kwenu nyie wanaume naomba mnisaidie why do you prefer bitches??
Nimekua nikiona wanaume wengi pamoja na kutambua dada fulani ni malaya lakini mmekuwa mkipigana vikumbo kuwafatilia tena sio kwa one night stand bali kwa mahusiano ya muda tu.
Huwa nawashangaa mnapowasemasema lakini mmo tu[emoji3] [emoji3] [emoji3].
Nimejaribu kupitia kitabu cha Sherry Argove cha WHY MEN LOVE BITCHES bado sijamwelewamwelewa.
Mnisaidie basi kuweni wa wazi mnawapendea nini kwao tujifunze basi ili tutumie kwa waume zetu wasiwakimbilie hao bitches!!!
Wapo wengi tu.Kuna mwanamke asie malaya sasa?
Sana tu ila we hujashtukiaHa ha ha
Tunafanana eee!!
Uongo mkubwa sana huuWana MMU