Why Muslims fear Islamic Sharia and run away from their own countries?

Mimi ni Muahmadiyya, haya sema ni mambo gani hayo ya msingi ambayo tunatofautiana na hao waisilamu unaowajua???
Kumbe wewe ni Qadiani......khaaa!!!!!

Qadiani/Ahmadiyya wanasema Muhammad (saw) sio mtume wa mwisho kweli au sio kweli?

Qadiani wanaamini kwamba Mirza ghulam ni sawa sawa na Jesus son of marry kweli au sio kweli?

Qadiani wanaamin kwamba Adam sio binaadam wakwanza kweli au sio kweli?

Qadiani wanaamini kwamba Mirza Ghulam ni nabbi wa Allah tena ni mahdi kweli au sio kweli?

Qadinis wanaamini kwamba masihi dajal ni mfumo wa nchi za wazungu kweli au laa?

Naomba unijibu kwa maanifa ya wengi sipendi maelezo megi plz.be precise
Kama itakua kweli hayo yote nikinyume na Dini ya kiislamu wa Ahmadiyya sio Waislamu, japo wanapenda sana kuitwa Waislamu.
 
What I don't like is a migrant, granted citizenship then starting to critisize and curse people's way of life by shooting people and forcing to impose his will on them. I think that is disgusting, barbaric and unthankful.
 
Kumbe kawauzia !! Nilidhani kawapa bure. Yaani asifanye biashara kuogopa akili zao kuwa ni ndogo eti watauana.
 


1--- Jumuiya ya Waisilamu wa Ahmadiyya sio Qadian.
2---- Usinifundishe jinsi ya kujibu.
3-----Usitoe hukumu kwamba Ahmadiyya sio Waisilamu bila kuleta vigezo vinavyomtambulisha Muisilamu ni nani kwa mujibu wa Qur'an au hata hadithi za mtukufu mtume Muhammad (saw)--- kama unayo hiyo haki ya kuwatoa watu kwenye uisilamu, taja nani kakupa hiyo haki?? ama sivyo nami ninayo haki ya kukutoa kwenye uisilamu !!.
4---Hayo ndiyo maswali yako yote??
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu wakitoroka waenda hukohuko USA kuomba hifadhi?
 
Mtu yoyote anae amiini Nabbi batili/muongo au fake kama Qadiani/ Ahmadiyya wanavo muamini Mirza Ghulam Qadiani wa India kama Nabbi wa Allah, wakati haja tajwa popote katika Quran au hadeeth za mtume huyu mtu sio Muislamu tena haijalishi hata kama ana tamka shahadah au ana swali swala tano anakua mnafiki tu na ni fitina katika Umma ya uislamu, chukueni tahadhari na kikundi kinachojitabrisha kama jumuia ya waislamu wa Ahmadiyya, hao watu sio waislamu ila wanatumia utamburisho wa dini ya kiislamu kuieneza Fitina kwenye Umma ya uislamu.
 
A very fair argument worth pondering!
 
Kaka umemaliza kila nilichotaka kusema.
 



1----Mimi nilidhani kwamba ungekuja na aya ya Qur'an au hata hadithi ya mtume mtukufu (saw) inayobainisha Muisilam ni nani, kinyume chako unakuja na rai yako binafsi ya kuwatoa watu kwenye Uisilamu!!, ni nani aliyekupa hayo mamlaka ya kuwatoa watu kwenye Uisilamu???

2----- Tofautisha kati ya jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya na Qadian, Qadian ni mji uliopo India ambako ndipo alipozaliwa Muanzilishi mtukufu wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad (as) NABII, Qadian ni jina la mji na Ahmadiyya ni jina la Jumuiya ya Waisilamu, nadhani hadi hapo utakuwa umeelewa somo.

3----Kabla ya kuanza kumkadhibisha huyo Hadhrat Ahmad (as), yakupasa ujue kwamba kuna aina mbiki za unabii/utume; utume wenye sheria na utume usiokuwa na sheria, mfano Nabii Musa (as) ni nabii aliyekuja na sheria ya Taurati na manabii waliomfuata baadaye katika bani Israel hawakuwa na sheria bali walifuata na kufundisha sheria ya nabii Musa (as), hivyo inaposemwa kwamba Hadhrat Ahmad (as) ni nabii/mtume ni katika njia hiyo hiyo ya kutokuwa na sheria kwani Sheria ya Qur'an imekwisha kamilika chini ya Mtukufu mtume Muhammad (saw), mtume au nabii atakayekuja atakuja kufundisha aya za Qur'an (hii ni kwa mujibu ni kwa mujibu wa Qur'an) na Hadhrat Ahmad (as) yumo katika kundi la unabii usiokuwa na sheria.

4----- Tatizo lililopo ni kwamba Mtukufu mtume (saw) anaamiwa kimakosa kwamba yeye ndiye nabii wa Mwisho kuja ambapo sisi Waahmadiyya tunasema Yeye ni Nabii wa Mwisho wa Sheria lakini watu watakapoacha au kusahau mafundisho ya Qur'an/dini (kama inavyoonekana katika nchi nyingi za kiislamu) basi Allah atamuinua mtu mmoja mfuasi halisi wa mtukufu mtume Muhammad (saw) kuja kuwarudisha watu kwenye Uislamu safi, nafasi ya utume wa aina hiyo inapatikana katika uisilamu ingawa waisilamu wengi wameweka pamba masikioni kukataa jambo hilo.

5---- Kabla ya kumjadili Hadhrat Ahmad (as) ni bora kwanza kujadili je nafasi kama hiyo ya kuja kwa mtume asiyekuwa na sheria inapatikana baada ya kufikia muafaka ndipo tuende hatua ya pili, je Hadhrat Ahmad (as) ndiye yeye??!

6-----Nadhani Jambo hili halihitaji jazba, kejeli au matusi bali ni jambo la kuelimishana jinsi Qur'an inavyotuasa; "Iteni katika njia ya Allah kwa hekima na mawaidha mazuri", sidhani baada ya hapa kutakuwa na lugha chafu.
 
--- "Tatizo lililopo ni kwamba Mtukufu mtume (saw) anaamiwa kimakosa kwamba yeye ndiye nabii wa Mwisho kuja ambapo sisi Waahmadiyya tunasema Yeye ni Nabii wa Mwisho wa Sheria lakini......."
leta uthibitisho kutoka kitabu kitukufu Quran acha kupotasha uaislamu bila kutoa dalili.
 
Naomba ujue kwamba wewe ni mshamba au limbukeni katika hi Dini ya Qadiani/ hi dini imegawanyika kwa vikundi vingine 12, na kila kikundi kina utambulisho wake, wafuasi wa Masroor ambaye iko UK munaitwa Ahmadiyya Qadiani kikundi cha Ghaffar kinaitea Ahmadiya Lahouri group, kuna kikundi kinaitwa Green Ahmadiyya kilianzishwa na Mtoto wa Mirza Tahir........kuna vikundi vingi vya Ahmadiyya kama hujui ntakujuza viziri ntakuwekea na website zao hapa kwa mnfaa ya waislamu ili wa sipotoshwe na nyie majahiliya.

1.Kuna Jamaat Ahmediyyat Islah Pasand.

Kiongozi wao ni Abdul Ghaffar Janbah, yeye anadai kua Ghulam-e-Massihuzaman (Musleh Maud) and Khalifatullah.

2.Kuna Green Ahmediyyat, eliazishwa na Mirza Rafi Ahmed, “Mahmood-e-Sani Confidant of Ayub-e-Ahmadiyy
at Harzrat Sahibzada Mirza Rafi Ahmed (AS)”.
Their website is http://greenahmadiyyat.
org/

3.Ahmadiyya/Qadiani Community, inaongozwa na Mirza Masroor Ahmed. Anadai kua Khalifatullah.
His website is Ahmadiyya Muslim Community - Official website

4.kuna Jamaat Ahmediyyat Haqiqi, led by Nasir Ahmad Sultani.na yeye anadai kua Khalifatullah and a divine reformer of the Ahmediyyat.
This Jamaat is growing and has.
nk.
Je mtazania mwenzangu group lako ni lipi?
 
Mokaze usitupotezee naomba dalili kutoka Quran zinazo sema eti Muhammad (saw) kwamba ni mtume wa mwisho kwa kuleta sheria tu sio viginevyo...........sijui nyie ma Qadian nani anawalipa kupotoshwa waislamu na Imani yao na kuidhalilisha.
 
Unajua kwanini wa nafanya hivo? Sio unafiki waislamu wengi wanalipiza kisasi kwa kuenda kwenye nchi za hao wa chochozi kueneza uislamu wanao pinga
Hii ni hoja mfu, waislam hawaendi kwa lazima ila wanaomba. Kama haya mataifa yangekuwa na shida na dini wasingewapokea, ni Hungary pekee ilisema haitaki wakimbizi wa kiislam nchini mwake.
Haya mataifa yako mbali na dini siyo kigezo tena kwao.
 


Au wewe leo unakana imani yako potofu kutoka katika (33:40 Qur'an) kwamba maneno جاتم النبيين sio mwisho wa manabii??!!, kwasababu kutokana na maneno hayo kueleweka vibaya kwamba ni mwisho wa manabii ndio maana Waisilamu wengi kimsingi kwakutojua maana ya neno "khatam" wanadai/mnadai kwamba utume umekoma katika dini ya uisilamu.
 
Iyo inshu za hayo mataifa imekaa kisiasa na maslahi sio kidin kama weng wanavyoona hao tariban wanatumia sheria za din kama kivuli ktk mambo yao mfano kutonyoa ndevu iyo sio sheria ktk uislam watu wanahama kutafuta unafuu wa maisha na kukimbia sheria za ajab kama izo
 


Tatizo lako umeenda kunukuu wapinzani wa Jumuiya ya Ahmadiyya, itakuwa ni jambo la kijinga mtu asiyekuwa Muisilamu kunukuu Wapinzani wa Mtume mtukufu (saw) ili kutafuta ukweli wa Mtume (saw)---- wewe sasa ndiye mbumbumbu kwani nimekuambia mimi ni Muisilamu wa Ahmadiyya sasa kama unajua vyema Ahmadiyya na umesoma vitabu vilivyoandikwa na Waahmadiyya wenyewe njoo tujadiliane na sio kunukuu maandiko ya upotoshaji yanayotawanya kila uchao kudhoofisha Kazi kubwa inayofanywa na waisilamu Ahmadiyya kujenga taswira ya asili ya Uisilamu iliyoharibiwa na wapinzani wa Uisilamu na Waisilamu majahili wenye siasa kali.

Niambie.ni kitabu gani cha Ahmadiyya (Ahmadiyya publication ) ulichowahi kusoma wewe mwenyewe sio hivyo ulivyonukuu kutoka kwa wapinzani wetu.

Mpinzani ataandika jema lolote la hasimu wake??!
 
Hiyo kauli ya mwisho inaelezea ukweli unaoweza kueleweka kwa wachache sana.

Nionavyo mimi kuna baadhi ya mistari ya hicho kitabu ilihaririwa na shetani ili kuleta mtafaruku duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…