Why Nairobi has become a haven for Global firms.

Ian Cruz

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2016
Posts
1,678
Reaction score
1,011
Why Nairobi has become a haven for global firms
Shoppers at Carrefour hypermarket in Karen Mall on September 3, 2017 /ENOS TECHE
A number of International brands are making there way into the continent through Nairobi.
In less than five years, French retailer Carrefour, Chinese construction firm Avic International Holdings and now Lebanese SABIS International School among others have entered the Kenyan market as part of expansion into the greater African region.
This is despite the higher cost of living in the country which according to the Kenya National Bureau of Statistics stood at an average 8.02 in 2017.
SABIS president Carl Bistany said that having conducted research, since 2014, on potential regions in Africa to set up operations, they found that Nairobi was the most strategic position to pilot business in Africa.
“Of course we have our scouts and team which does lengthy researches supported with statistics and Nairobi has always been on top of the chart whenever this is done, we have studied the risks, the expected turnover, the target market and we are convinced it will be a success,” Bistany said.
This was reiterated by the Africa director for Chinese construction giant AVIC International Holding Corporation Huang Hong adding that Kenya has a conducive business environment. AVIC is currently setting up its headquarter in Nairobi.
Hong said the country further had an expansion capacity as it remains highly under-utilised in resources and manpower.
Nairobi has also attracted investors through political and social tranquility, this according to Centum Investment chief executive officer James Mworia.
“We might have some political discourse in the country but we are much stable and welcoming than most of the countries in the continent,” he said.
Mworia said in establishing the clientèle, the brands were looking more than just within the country but also high-end clients from countries experiencing instability in the region and seeking world-class services.
“Most often, some people travel to shop abroad but you notice Nairobi's position is central to East and Central Africa countries thus by setting a company there it is easy to pull those clients and save them the long journeys,” Mworia said.
Increased retail space in the country has also driven the increase in international investment, pulling brands from across the globe.
“With the number of Malls in the country, international investors see big opportunities mostly because the malls attract high-end clients thus will be a good way to attract them,” LC Waikiki country manager Kremena Pencheva said.
The Turkish clothing brand plans to open its third store in Mombasa since joining the Kenyan market a year ago.
Effects to low income earners
However, the effect of the city becoming a regional hub may have an effect on low income households.
The cost of living in Nairobi in the last 10 years has greatly gone up hard hitting low income earners.
From the increased house rent, increased retail commodity prices among others.
According to financial analyst Mike Mute, in a few years the city will be unbearable for low income earners forcing them to move into areas or counties near the city.
“Look at estates that previously did not have big establishments like Ruaka and Thika road when the malls sprouted and the road infrastructure housing went up and some people moved out to further places like Kiambu,” Mute said.
 
Walete katika nyumba inayoongozwa na vichaa hii watapona? Nyumba isiokuwa na walinzi kusimamia hata vetting ya mkuu wa familia?

Matokeo yake sasa nyumba kwa miaka kumi iko mikononi mwa kichaa anaehtaji kuwa mirembe.

Chumba kimoja cha nyumba ya familia, mkuu wa familia kichaa mlangoni kamweka tahahra kupima akili wenye akili timamu
 
Dumela mma, wena o kae?
 
Normally the multinational companies establish their businesses where they believe can make the profit.
 
What other reason would compel them to open their business. Mbona huwa mnawaza kama watu wenye mapungufu, kampuni yoyote huangalia faida kama moja wapo wa sababu za kufungua tawi sehemu.
Nikipata muda nitakupa darasa la multi-national enterprise management strategies 101, ila nina mashaka kama utakua na uwezo wa kuelewa chochote maana huwa mpo nyuma sana kiuelewa.
 
Lete nondo. Hii kichwa inasomaga HATA aeronautics and space technology, kwa hiyo issue za international corporate finance eti al kwangu ni maji tu.

There are a number of pulling factors; but profit is the fundamental parameter.
 
Hahaha....hapa wadanganyika wanapitia mbali.

But the trickle down effects should not only be stipulated on papers but also should be seen in the normal lives of individuals.
 
Huu utumwa mtaacha lini? Mnatetea watu ambao wanakuja kuchukuwa your hard earn $$$ na kuipeleka kwao in terms of buying expensive services abroad. Halafu mnalia deficit is running wild. SMH
 
Kuna tofauti kubwa sana ya kampuni inayokuja kufanya biashara ndani ya nchi yako na kampuni inayokuja kuzoa raslimali za nchi na kupeleka kwao kama inavyofanyika Bongo kila siku, mumebaki mahandaki matupu na umaskini na kuendelea kutajwa kwenye nchi maskini wa kutupwa Afrika.

Waut huwa hamna uchungu na nchi yenu, kazi kuwakenulia meno wazungu wakikwapua kila mlichoachiwa na babu zenu, bora hata Nyerere alivyosema vizuiwe vyote hadi siku mtafunguka akili, sasa tatizo hamkusubiri mfunguke, mliachia na kuendelea kuachia na kubaki maskini.
Hivi show ya Acaca kuwanunulia kila Mtanzania Noah iliishia wapi, yaani nyie ni wwakuonewa huruma kila siku, sasa ndugu zenu wameishia kuja kuwa omba omba Kenya baada ya nchi yenu kubaki mahandaki. Cha kusahangaza majirani zetu kama Somalia na Sudan Kusini kutwa vita lakini hutawaona wakiomba omba mfanyavyo, ni jambo la kutia huruma na aibu kubwa kwamba nyie tu ndio nchi inayozalisha omba omba na kuwatuma Kenya ukanda wote huu, ona hii video.

Wale mbwa bado wanatoa maziwa ya Nyayo?,ile ni aibu sio kwa Kenya tu bali kwa Afrika
 
Hapo ndipo mnapo jidanganya mkifikiri Wazungu wanaiba rasilimali tuu zinazo onekana. Hivi unajuwa ni kiasi gani cha pesa hayo makampuni ya nje wanazowa Afrika na kwenda kujenga chumi zao? Unafikiri IBM, Microsoft Uber nk wanatoaje faida yao hapo Kenya na kuipeleka kwao. Unafikiri wanawapenda sana mpaka waje walete mtaji na waachie na faida? Mnajidanganya eti wanakuja kutuelimisha na watafanya biashara na watu wa hapa kwetu. Hakuna Mzungu mjinga wa hivyo, kinachokuja Kenya au Afrika ni kitu ambacho wamekifikiria kwao na kubakiza siri zao huko huko kwao. Mwisho wa siku waafrika tunabaki kuwa watumwa tu. Huwezi kuona nchi makini inakumbatia makampuni ya nje.

Tabo Mbeki amepigia kampeni sana uwongo wa makampuni kama hayo unayoyatete hapa. $80 bilion ya Waafrika inazolewa kila mwaka na kuipeleka kujenga chumi za nje ya Afrika. Wakaiti wewe uko hapa JF unatetea upuuzi kama huu wenzako wanazowa pesa.
 
Narudia tena, kampuni inayokuja kufungua ofisi na kufanya biashara papa hapa ni tofauti na inayokuja kuzoa raslimali kama madini ikipeleka kwao kama wafanyavyo kwenu. Hayo mahandaki yenu mtayaziba, kwanza ukienda mikoa kunakozolewa madini huko kwenu ni umaskini mtupu, halafu nilishangaa mna hadi uwanja wa ndege ambazo zinatua na kuzoa na kutoweka.
Yaani maeneo ya kijijini, kame tupu lakini kuna uwanja wa ndege......nyie bana.
 
Unatia huruma kuwatetea wazungu hivi, ndio maana wanakalia ardhi Kenya na kuwaacha watu wenu kwa mamilioni hawana ardhi ya kuishi au kulima. Haya madini ya Tanzania wala yasikupe presha, hida sasa ni 9% tuu ya madini ndio yamechumbwa, na tumeshaanza kuwafungisha mizigo wawekezaji uchwara. Nasikia wengine wanakimbila Kenya.
 
Ulwaji wa madini yenu unanitia presha maana umaskini wenu unatuathiri, mumewashindwa kabisa jinsi ya kuwadhibiti wazungu, juzi mumezunguka zunguka na hadithi za alfu ulela za noah mara Acaca watalipa mara makinikia halafu kimyaa nyote.
Lindege la bombadia bado limeshikiliwa na hao hao Wakanada wanaozoa hayo madini yenu, miafrika bana, yaani ni kama mtu alale na mkeo na bado akupe kichapo na akulazimishe umpe hela.
 
Ulwaji wa madini yenu unanitia presha maana umaskini wenu unatuathiri, mumewashindwa kabisa jinsi ya kuwathibiti wazungu, juzi mumezunguka zunguka na hadithi za alfu ulela za noah mara Acaca watalipa mara makinikia haalfu kimyaa nyote.
Lindege la bombadia bado limeshikiliwa na hao hao Wakanada wanaozoa hayo madini yenu, miafrika bana, yaani ni kama mtu alale na mkeo na bado akupe kichapo na akulazimishe umpe hela.
Unapate presha na umasikini wetu wakati tuna lima chakula na kuwauzia Kenya?. Mbona ndugu zako wengi wanakuja kutafuta kazi huku na wengine wanapita njia za panya? Huu umasikini ndio unaiongezea kipato KQ kwa kujaza ndege zake huku Tanzania x46 kwa wiki? Inadhihirisha unashida ya kuelewa majadilinao ya kibiashara ya kiserikali, unafikiri serikali inafanya biashara kama ya kupiga rangi viatu River Road.
 
Back
Top Bottom