N nyarubanja New Member Joined Jan 15, 2011 Posts 1 Reaction score 0 Jan 16, 2011 #1 wadau naomba mnisaidie kupata ufahamu juu ya hili jambo, kwa nini serikali yetu inabadilishabadilisha fedha? je hili halina madhara kwenye thamani yake?
wadau naomba mnisaidie kupata ufahamu juu ya hili jambo, kwa nini serikali yetu inabadilishabadilisha fedha? je hili halina madhara kwenye thamani yake?