Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Why people do well academically in schools do not always do well financially in the real world?Funguka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Yohana kitaaluma ni genius?Kwa sababu hujidai ni wajuaji wa kila kitu na hawataki kushauriwa mfano Yohana wetu
Genius wakukariri idadi ya kuku,mbuzi,ng`ombe wa tanzaniaKwani Yohana kitaaluma ni genius?
Hii ni kweli kabisa....namjua mzee mmoja Arusha ni Auditor, huyu mzee ana degree zaidi ya 7, kila mwaka anasomaga tu....alivyofanikiwa kupata CPA tu...akaanza na kusoma mengine mengine mpaka namshangaa....niliwahi kuwa mfanyakazi wake...he only cares about service not money....ana maisha ya kawaida mno....ana degree ya Accountancy, Law, Risk analysis, marketing, na akafika mpaka PHD ila haachi kusoma soma.....na kutoa huduma za bure bureMagenius wengi hawapimi mafanikio kwa financial indicators Bali wao kufanikisha ni kuandika papers nyingi na kufikia highest level of academic achievement eg. Akiwa Professor hata Kama Hana hela kwake hiyo inampa satisfaction na kuburi na kuona kutafuta hela ni kazi ya watu ambao hawajaenda shule. Mf. Tafuta maprofessor au ma Dokta(PhD) wenye biashara kubwa unipe idadi yao
Mkuu labda huko ulaya sio Tanzania hii ya bodi ya mikopoKila mtu na karama yake,akina Sir Issac Newton,Faraday,Galileo Galilei wangeng'ang'ania kuwa vizuri financially leo hii Dunia ingekuwa wapi???......Kitu kingine ambacho unapaswa kujua kuanzia leo ni kwamba lengo la watu kusoma halipaswi kuwa ni kupata hela!!......unatakiwa usome so as to make the earth a better place to live for the future generations kama walivyofanya akina Sir Issac Newton!!
Cpa 001Reginald Mengi ana CPA......