Why people who do well academically in schools do not always do well financially in the real world?

Money ni commodity tu. Kiuhalisia unahitaji pesa kiasi endelevu cha kujikimu mahitaji muhimu ya kibinadamu, kuwa na pesa nyingii mtu mmoja ni ulimbikazaji wa rasilimali ambao sio sahihi, haiongezi furaha. Hivyo hao waliosoma wako sahihi wana pesa kiasi stahiki kutimiza mahitaji yao na familia zao.

Yapaswa kuwa na uwiano wa kipato katika jamii.kama uswidi na nordic countries ambapo kila mtu anapata mahitaji muhimu bila tatizo na gap la rich vs poor ni dogo sana.
 
ukiwa na gpa nzuri, unakua selective mno, nafanya ichi na ichi sifanyi maana unajua una back up
 
Kuna watu hawajali kabisa pesa, wanatumia taaluma zao kutengeneza vitu vinavyokuwa msaada mkubwa kwa jamii.
Na inawezekana,walipoachwa wasomi ktk nyadhifa za serikali kinyume na ilivyo sasa,ndo madili na upigaji ukakomaa wakifikiri ni biashara
 
cause scoring A in class needs logical knowledge (mwalimu anakusahihisha vitu alivyoamriwa kufundisha tu) but to score A in real life needs imagination (you have to extend your mind beyond logical limits)...Logic ni mazoea ujue
 
Educated people are struggle financially mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…