Habari zenu wakubwa i think mko good at al
kinacho nishangaza mpaka mwezi march unaisha kila siku nikienda skull headmaster anaxema bado tatizo nini wana jf na mimi nataka nitume maombi chuoni?
kaulize result slips! sio sleep
baraza magumash2, juxt wait zitatoka2aisee........ umeandika kama selule... results sleep haziwezi kuwa baraza, na hizo skull sijui ndio .........