I'm pulsed as well.
1.00 USD = 1,295.99 TZS
Two weeks ago was 1,156
Uchaguzi Marekani una effect kwenye USD. Is this how it should affect our currency and not the other way round?
.
Ukiwa unapenda hela ata utu unakukosa. Yaani mawazo yangu ni shillingi iporomoke ili dollar yangu 50 iweze kufanya mambo mengi bongo. Nifanye nini nipate kuokoa.
Mc Cain,Duh! hii currency nilishaisahau kama ipo....
Mc Cain,
You need to go home for a while.
Mkuu,
Unajidanganya maana mambo ya bongo yanategemea imported commodities, hivyo shilingi ikitelemka kila kitu kitapanda kiasi kwamba hizo shilingi zako nyingi hazitakuwa na maana yoyote tena.
Mc Cain,
You need to go home for a while.
Tatizo umeona imported commodities tu. Je wafanya kazi wa kitanzania si wanalipwa mishahara hilehile?
Well understood....victim sio shilingi tu mkuu ni across the board dollar gained strength,siku zote ujue World economy inapokwenda south watu wana dump stocks na commodities(oil,gold etc) na wanahamishia assets zao kwenye American dollars(wanahold na kununua dollar kwa sababu USD is considered safe na ukiona markets zimeanza kufanya vizuri ujue dollar ina lose na mafuta most of the time yanapanda bei,kuna uhusiano mkubwa sana kati ya World indexes,oil,gold and American dollar,just go educate yourself material yapo all over the net utajua jinsi uchumi wa dunia unavyo operate around hivyo vitu vinne!
kwa muda wa wiki wa wiki moja sasa, thamani ya shilingi ya tanzania imeshuka kwa kasi ya ajabu, mfano mwanzoni mwa mwezi huu ilikuwa exchange RATE KAMA HIVI $ TO SHILING 1138/=, LEO KWENYE BENKI YA STANBIC MBEYA ILIKUWA ALMOST SHS 1300/= KWA DOLA!
KUNA NINI? MBONA BEI YA MAFUTA IMESHUKA KWENYE SOKO LA KIMATAIFA, NI NINI KIMEIPATA SHILINGI? TUNAOMBA WACHUMI WATUSAIDIE, ISIJE IKAWA KUNA UFISADI FULANI UNAFANYIKA KUSHINIKIZA BEI YA PETROL IPANDE KWA KISINGIZIO CHA KUANGUKA KWA THAMANI YA SHILING