Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO

Sikutaka kujibu maana nimekuwa mwangaliaji wa muda mrefu lakini post yako imenitoa pangoni. Kama mkuru hamtaki njia ziko nyingi za kisheria . Mojawapo ni kumnyima kibali cha kufanya kazi period
 
What makes u think she is incompetent...we una uwezo wa huyo dada?.ama mafanikio alionayo?..kaapply hio nafasi uone kama hata wataisoma application yako...
Naona kuna dalili za wivu kwa kazi alopata na gender issues mnazileta waziwazi

Hatuna wivu wowote Madam. Tunapigania nchi yetu. Wewe una uhakika gani Sylvia ana sifa kuliko watanzania wote?
Kuna wakati huwa nawashangaa sana watanzania.
 
Hicho kibali ni work permit tu na sio kwamba ni big deal kiasi hiko...mbna siku zote mnawapa hizo permit leo mtakataa on what grounds?.makaburu mbona hamuwakatai?.

Kama unataka kujua work permit ni deal au sio deal kamuulize balozi wao pale Kaunda street. Hahaha, huyo Sylvia saa hizi sijui ana hali gani.
Government of Tanzania will betray us if they give permit to this food technologist cum CEO whatever....
 
Sikutaka kujibu maana nimekuwa mwangaliaji wa muda mrefu lakini post yako imenitoa pangoni. Kama mkuru hamtaki njia ziko nyingi za kisheria . Mojawapo ni kumnyima kibali cha kufanya kazi period

Kibali atanyimwa kwa sababu maalumu kama zipo ila sio hizi. Mpaka sasa sijaona sababu tangible ya kuzuia asipewe kibali.
 
Nawajua vizuri! Magufuli awaangalie awa kwa jicho la tatu!
wakati hawa vilaza wachache hapa jf wakimtetea huyo mwanamke mkenya kuja tanzania kuongoza kampuni ya vodacom, vyanzo vyangu vya karibu vimenimbia tayari watu wa "idarani" wapo kazini kufatilia uamuzi huo.na pia wana monitor kila linajodaliwa hapa kuhusu mwanamke huyo.

acha tu waendelee kupiga porojo zao. nawachora tu.
 
duh,nyie madude ya ajabu kweli,yeye kuwa mkenya imewaumaaa balaaa😀
 
Time and time again we have seen delibarate undertakings by Kenyan managements to undermine Tanzanian companies and firms for the benefit of rival Kenyan companies; there is every reason to think that this is another plot to submerge Vodacom and raise Safaricom, and hence effectively paving an environment for the monopolisation of the telecommunications and e-money bussiness by Safaricom, needless to say this will hurt Tanzanian jobs and consequently our economy; by the way, we are discussing the welfare of Tanzanians, so just shut it! THEY EITHER KICK HER OUT OR A BOYCOTT IS IN ORDER!
 

Vodacom owns both companies. Your argument lacks logic. Do you kill one of your branches to further another one in another region under completely different regulators??!! If Vodacom dies, Tigo and Airtel stand to win, not Safaricom. What a brilliant plot

Jamani, lets sit and simply think for a minute before posting
 
Sikutaka kujibu maana nimekuwa mwangaliaji wa muda mrefu lakini post yako imenitoa pangoni. Kama mkuru hamtaki njia ziko nyingi za kisheria . Mojawapo ni kumnyima kibali cha kufanya kazi period
Uhamiaji watumike ipasavyo, wala hatuhitaji kutumia nguvu nyingi, kila akiomba kibali tunamwambia network mbovu, mpaka akate tamaa.
 
Kibali atanyimwa kwa sababu maalumu kama zipo ila sio hizi. Mpaka sasa sijaona sababu tangible ya kuzuia asipewe kibali.
Hatuna haja ya ku-explain chochote kwa yeyote juu ya kumnyima kibali mtu yeyote, nchi ni yetu, na sisi ndio tunaamua, period!
 
Reactions: Oii
General Tyres Tanzania ilivyohamishiwa Kenya na kuitwa YANA tyres! , dude, we have had enough from you people as a nation, you have said what you have to say, the jury is out on this, lets wait and see.
 
Akawe MD Safaricom muiue kama KQ.


Why You will never see Kenyans on the Tanzania section or even bother reading your news..... but you Wabongo... Kukesha tu kenya section and refreshing Kenya news on google after every 5 minutes
 

Naam! SHUKRANI MKUU
 
Nimebadilisha msimamo wangu. Itakuwa jambo nzuri sana kama JPM atahakikisha kwamba huyo Madam hapati kazi yenyewe. Kenya tutakuwa tumkwepa 'brain-drain' ya wataalamu wa kikenya ambao wapo kwenye shughuli ya maendeleo kwenye nchi zingine. Wawekezaji Tz nao wataendelea kukosa imani na serikali na uongozi wa Tz. Hatuna cha kupoteza kama nchi kwasababu ya mkenya mmoja kukataliwa kwenye nchi nyingine. Its a win-lose situation. Kenya won't lose anything.
 
Ok explain to me this logic. Move Vodacom Tanzania to Kenya and miss out on 900/= million annual revenue in Tanzania? At what point does this make sense?
Its not about moving and missing anything,when one takes over it doesn't necessarily mean he closes the enterprise. its about a takeover whereby the 900/= million annual revenue was kept in Tanzania and circulated in Tanzania, but thereafter, the take over will ensure that all net revenues collected are sent to Kenya to further financial circulation in Kenya.Also the takeover will ensure that the greatest number of Kenyans replace the Tanzanian employees in all the top positions, only the low ranking customer care positions might be left for the locals, hence further draining the economy. Hili sio shamba la bibi mje kuchuma then mkajenge kwenu, hatutaki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…