Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO

Mzee kayumba anaongea hadi vitu ambavyo havijui na amekua mropokaji

yaani jinsi alivyoongea utadhani anaijua tanzania kuliko tanzania jinsi ilivyo
 
Anachanganya kati ya civilian na military cooperation, kama kweli kuna radar zao tunashare basi ni for civilian purposes tu ndio tunaweza ku-rent radar time, ila militarily uwezo wetu ni siri yetu. Ila aulize kilichomkuta Gadafi pale alipotuma air support kwa Idd Amin, ni kiliipata ile ndege, tena enzi hizo za Nyerere, bogus kabisa huyo jamaa..
 

Musklize rais wako anakiri hilo, kwamba anga yenu iko mikononi mwa Kenya.
 
WaTanzania katika utendaji ni zero ...............unafiki , wizi , uvivu , upendeleo kwa kubebana kikabila na kindugu na mambo mengi yasiyo na maana ndo wanajua ............Mimi hata Nikiwa na kampuni siwezi kumuweka MTamzania Kuwa CEO hata Siku moja ..............Ukimuweka mbongo Kuwa CEO Andika Maumivu hapo
 
nakamwe hauwezi kuwa na kampuni kwasababu akili yako imeganda.....endelea kuwa na akili yakutafuta wageni.....

pointi ni hivi endapo unapofungua kampuni halafu ikiwa wewe mwenye kampuni haujatengeneza sheria kali ama utaratibu yakinifu katika kampuni yako jua kabisa hata umuweke mtu wa aina gani katika ofisi yako akusimamie maumivu yatabaki kuwa palepale........hata hao wakenya wenyewe ambao unahisi ni bora ila kama ni bora haujiulizi kwanini taifa lao ndiyo taifa linaloongoza kwa rushwa kuliko lolote kwa huu ukanda.......na kingine katika maisha hata wewe upate shavu la ajira nnje ya nchi yako lazima ujitume zaidi ili uonekane.....hivyo usiwe namawazo potofu

NOTE:ukiwa kampuni yako ukiweka taratibu zakivivu nao uliowaajiri wataishi kivivu
 
hajui kitu anachanganya sukari na chumvi....na alichokizungumzia magu hata hajakielewa wakenya bwana ni wapuuzi sana
 
Musklize rais wako anakiri hilo, kwamba anga yenu iko mikononi mwa Kenya.
And so we should allow a Kenyan spy to infiltrate our telecommunications company because anga yetu ipo mikononi mwa Kenya, is that what you are saying?
 
kumbe haujamuelewa......

Mimi nimemuelewa vizuri tu, unafaa ufahamu ilmradi ndege zinazotua ndani ya nchi yako zinaongozwa kwa kutumia radar ya jirani, hapo umechemka, haijalishi hata kama utajitetea kwa kusema ni civilian aircraft.
 
Mimi nimemuelewa vizuri tu, unafaa ufahamu ilmradi ndege zinazotua ndani ya nchi yako zinaongozwa kwa kutumia radar ya jirani, hapo umechemka, haijalishi hata kama utajitetea kwa kusema ni civilian aircraft.
ndiyo maana nikakuambia haujaelewa kitu.... wacha nikuache na uelewa wako[emoji3] [emoji3]
 
Mimi nimemuelewa vizuri tu, unafaa ufahamu ilmradi ndege zinazotua ndani ya nchi yako zinaongozwa kwa kutumia radar ya jirani, hapo umechemka, haijalishi hata kama utajitetea kwa kusema ni civilian aircraft.
And that justifies a spy infiltrating our communications and intelligence systems?
 
Tafuta cha kufanya Mzee if u can't go through the arguments put forward.

So if you understood the arguments (na kwa kuwa huna cha kufanya), could you please elaborate on why you think it is a good idea for President Magufuli to interfere with the selection of Vodacom leaders? Why do you even think that is possible?
 
Raisi wetu yuko bize na kufungua viwanda hana muda wa kusoma maelezo yote hayo,yafupishe
 
Kwahiyo mtoto wa grade 2 (darasa la pili) kule uingereza anaezungumza kiingereza safi anaweza kuwa CEO hapa bongo, si ndio? Kwani lazima udhihirishe upumbavu wako? Si ukae kimya tu?

mimi naongelea misingi ya kujifunza na kujenga lugha, no matter the level...

na ndio maana nikasema "ni caution nzuri ila..." ... mwenye thread baada ya ku monitor thread yake kaandika:

"BTW I am pretty happy on the response this thread has had. My expectation is the relevant authorities will intervene and prevent our companies from being sabotaged by our competitor."

Lawfully inawezekana, kumfukuza mtu based on previous failures by their fellow countrymen? Does her appointment mean she will follow the tradition of her fellow countrymen? Bahati mbaya/nzuri sheria zipo nchini. Mamlaka husika zipo na zilikuwepo wakati wengine walikuwa wanapiga dili zao nchi hii hii.

Kama michango/mawazo yangu kwenye hii thread ama Jamii Forum kwa ujumla ni ya kipumbavu, basi acha yawe hivyo 🙂

 
Next time say what you mean, don't say 1 when you mean 2, and you only mean 2 when ur cornered, but before that its 1.
 
Your kind of thinking will always make us second to Kenya. We should not cower and run away from market challenges, but rise higher that those challenges. Global integration is already here and you can never say Tz will remain an island. This is why we need new way of thinking. Being ahead of competition. Being ahead of foreigners who come with the need to invade our land/ resources. Think bigger...not using a strategy of running away.
 
Vodacom is gonna die under her leadership.

Tanzania competition is more than intense, you can loose over a million of customers a month.

Asidhani huku kuna gurantee ya customers kama Safaricom.
 
this is what I call patriotism at its best (if there is no conflic of interest)!
Please Mr. President heed his/her plead!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…