Watanzania hatujitambui, inferiority na tumekosa soft skills tunajivunia vyeti tu. Wasomi wetu wengi tumebaki kusubiria teuzi za halmashauri (local government) hizi za Multinational companies tuwaachie wenye kujielewa ikiwemo WAKENYA.
Ile 1.5 trillion shillings imeporwa Tz unasema ni Wakenya?I have seen lots of kenyan companies run by kenyan expertise failing /dying in Tanzania. Few examples of those companies are Bata which had kenyans in heading all departments, Uchumi from country manager Mr Chris, finance manager, buyer ,back store manager and all other departments were under kenyans leadership, Nakumatt the same,Brookside now is struggling since all top posts put under kenyans guys.
There's a tendency of some people in higher office and some rich guys believing that kenyans are better professionally than Tanzanians, true and false , situations like these can be found both in Kenya , Uganda, Tanzania and everywhere. But the truth is with few experience working with kenyans in different companies in Tanzania I found out most of companies which are or were under kenyans leadership fail because wakenya ni wezi sana , mkenya akiletwa bongo na makampuni yao kwake inakuwa ni kuja kuvuna, wakenya wengi wakishaletwa huku wanakuwa wafujaji wa pesa za makampuni pamoja na wizi pamoja na kupewa mishahara mikubwa na marupurupu tofauti na wazawa .
Kuna kipindi wakati QBar iko hot ukiacha wazungu most of black there wapiga kelele na lavish spender were kenyans.
Where has he said so? Usihamishe mjadala.Ile 1.5 trillion shillings imeporwa Tz unasema ni Wakenya?
Absolutely!I have seen lots of kenyan companies run by kenyan expertise failing /dying in Tanzania. Few examples of those companies are Bata which had kenyans in heading all departments, Uchumi from country manager Mr Chris, finance manager, buyer ,back store manager and all other departments were under kenyans leadership, Nakumatt the same,Brookside now is struggling since all top posts put under kenyans guys.
There's a tendency of some people in higher office and some rich guys believing that kenyans are better professionally than Tanzanians, true and false , situations like these can be found both in Kenya , Uganda, Tanzania and everywhere. But the truth is with few experience working with kenyans in different companies in Tanzania I found out most of companies which are or were under kenyans leadership fail because wakenya ni wezi sana , mkenya akiletwa bongo na makampuni yao kwake inakuwa ni kuja kuvuna, wakenya wengi wakishaletwa huku wanakuwa wafujaji wa pesa za makampuni pamoja na wizi pamoja na kupewa mishahara mikubwa na marupurupu tofauti na wazawa .
Kuna kipindi wakati QBar iko hot ukiacha wazungu most of black there wapiga kelele na lavish spender were kenyans.
Nipe CEO wawili Nje ya Tanzania ninyamaze.Labda AKILI YAKO ni finyu. Lkn KUNA ma CEO wa kiTanzania wengi SANA ndani na nje ya nchi WANAFANYA VIZURI.
Cheap labor wengi wenu mkiwa vijiweni umbea?Asikutishe huyo. Hamna wakenya kwenye top posts hapa Tanzania.
Wakenya ni cheap labour ndo MAANA utawakuta kwenye mashule yetu, mahotel yetu, KAZI za ndani n.k.
Basi wewe uteleze hiyo hela imekwenda wapi?Where has he said so? Usihamishe mjadala.
Nipe CEO wawili Nje ya Tanzania ninyamaze.
Cheap labor wengi wenu mkiwa vijiweni umbea?
Another Testament of Kenyans' performanceI have seen lots of kenyan companies run by kenyan expertise failing /dying in Tanzania. Few examples of those companies are Bata which had kenyans in heading all departments, Uchumi from country manager Mr Chris, finance manager, buyer ,back store manager and all other departments were under kenyans leadership, Nakumatt the same,Brookside now is struggling since all top posts put under kenyans guys.
There's a tendency of some people in higher office and some rich guys believing that kenyans are better professionally than Tanzanians, true and false , situations like these can be found both in Kenya , Uganda, Tanzania and everywhere. But the truth is with few experience working with kenyans in different companies in Tanzania I found out most of companies which are or were under kenyans leadership fail because wakenya ni wezi sana , mkenya akiletwa bongo na makampuni yao kwake inakuwa ni kuja kuvuna, wakenya wengi wakishaletwa huku wanakuwa wafujaji wa pesa za makampuni pamoja na wizi pamoja na kupewa mishahara mikubwa na marupurupu tofauti na wazawa .
Kuna kipindi wakati QBar iko hot ukiacha wazungu most of black there wapiga kelele na lavish spender were kenyans.
Hapa hatuongelei wanasiasa la tukiamua kuongelea wanasiasa hapa na jinsi wanavyotafuna pesa ya umma basi wanasiasa wa kenya wako juu,ask Dangote.Ile 1.5 trillion shillings imeporwa Tz unasema ni Wakenya?
Sina MUDA mchafu wa kujadili na mtu asiyejielewa.
Hahahaha... haujui yeyote kwa sababu hakuna yeyote 😀😀😀😀Sina MUDA mchafu wa kujadili na mtu asiyejielewa.
Hahahaha... haujui yeyote kwa sababu hakuna yeyote 😀😀😀😀
Acha kucopy uzi maana mrfu.Kukiwa na watanzania kama hawa 500 tu wenye uzalendo na wanaoweza kuona mambo kwa jicho la tatu hakika nch yetu itasogea mbele
Mkuu nikupongeze kwa uzalendo wako , now hii issue imekuwa kubwa soon inatua bungeni kwa maslahi mapana ya Taifa .Why should Sylvia Mulinge be rejected as Vodacom's Managing Director
Towards our agenda 2025, nation interests for Tanzania should come ahead of anything as farequested as regional strategic decisions are concerned. Unfortunately, the British owned companies don't see how their careless moves can put our national interests at disadvantage. This is out of a reality that their skewed mentality has repetitively given leverage to Kenyan nationals at the expense of Tanzania's regional prospects with detrimental effects on our economic welfare as a result.
As an alert, Kenyans as people are to us our natural rivals aside being corrupt and money laundering machines just like Bashir Awale a former managing Director at Standard Bank (with a $6 mln bounty on his head). While protectionists at home; on given a task, they lack comittment, competence and expertise to perform at diligence. Appointing any of them to lead a big company like Vodacom poses serious risks to its prospects.
Just like Precisionair under Kioko, a sole electrical transformers plant in the region Tanelec was put under management of Kenyan nationals at its prime, before ended up minting loses. One should not forget how Kibo Breweries met impenitent greedy and protectionist takeover by East African Breweries under its CEO Gerald Mahinda at time.
As not only a bargaining token but a trump card that subsequently ensured an immediate closure agreement with Sabmiller for any potential threat in their perceived home market after ownership exchange of Brewery plants in Moshi and Thika in what was at the time Kenyans' a bragging right in what was infamously baptized a regional "Beer war", rendered Moshi town and her peripherial residence jobless with the disappearance of most catchy beer brand "Kibo gold" from the market.
The same is a repetitive sad story about the second take over of Serengeti Breweries unfortunately, by the same East African Breweries. As a testimony, just recently the East African Breweries was put under scrutiny of Fair Competition Commission after the terms of take over were violated. Again, as a result of poor decisions taken in Nairobi that deliberately ignored conditions and agreements put forward by Fair Tanzania's Competition Commission.
After a takeover, the behind the scene ill motives were pioneered that resulted into all efforts being channelled towards improving the image Tusker brand within the Tanzanian market at the expense of a loss of market share of a more prominent Serengeti beer. Serengeti beer was intentionally rejected the same treatment within Kenya as the takeover agreement requested aside a termination of several local sports sponsorships that led to her market share plunge at home.
Prior that, it has to be remembered via relentless promotions Serengeti beer had managed to carve a niche of its own in the beer market and commanded a respect and an outmatched vibrant receptiveness to beer consumers. Even under fierce competition from Sabmiller it's market share had fairly risen and by the time of a takeover, Serengeti Breweries had already established an overall market share of 15% within Tanzania.
Unfortunately under the prohibitive control and poor management of the East African Breweries in Nairobi that market share shrank to less than 7% at the moment. To me that did not happen as a coincidence, considering the fact the poor performance was for the second time and especially after seeing the same East African Breweries is investing a $150 mln plant in Kisumu a nose and mouth from Mwanza where Serengeti Breweries is having another plant.
To me, a demise of Serengeti Breweries was meant to give an excuse for a new plant in Kisumu and trying to use instigated poor performance to shut down a plant in Mwanza, a misallocation of resources.
As never ending recurrence of similar sabotageous coincidences, the same story can be explained of Tanelec acquisition by Transcentury under CEO Kiuna Gachao. Again, a Kenyan company, Transcentury led to Tanelec's underperformance as a result of a brand new subsidiary being opened in Kenya rendering its market share being constricted and hence redundance at home while job creation in Nairobi.
The same was the unfair tactics for the most talked about Arusha dairy acquisition by Brookside that left bitter taste among diplomatic circles in the region as Uhuru happened to be that ultimate torch bearer for this company.
I have a strong feeling madam Mulinge is sent on a mission and suspiciously, is being assigned to oversee a takeover of Vodacom by Safaricom, a move that will be executed via managerial limitations towards overall company's performance that in the end will erase its competitiveness in the Tanzanian market. With a board stage-managed from Nairobi to play a second fiddle in making approvals and decisions on their favor, unhealthy managerial tactics will be instigated to discourage the much needed innovation for a company to stay relevant in the market and hence growth derailment while posing Vodacom for a smooth take over at a throw away price.
Your Excellency President JPM, with my esteem humble advice i ask your office to reject this appointment. I also beg your office to stop letting Tanzanian companies being put under any sort of influence or control by Kenyans. Kenyans as people lack merit are incompetent while corrupt and have proven failure even on the running of their own companies at home.
Think of loss making KQ under Naikuni and Nguze, Uchumi under Kipng'etich and Nakumatt under Shah e.t.c. the list of their cultural proof of embezzlement, fraud and mismanagement when given a control of any good company is undebatable and can go on and on.
It's high time to do away with giving them a chance to ruin good gains by our companies especially those public owned as their failure will be disastrous to our economy. Just like the way a renowned Tanzanian political satirist James Gado was unceremoniously shown an exit door through a political influence though he working in a public company NMG, a similar fashion treatment can save Vodacom. Enough with their shenanigans , let us put a stop to being made their experimental Guinea pigs on their project "rundown to takeover". We should always stay vigilant and remind ourselves it's purely an attempt to economical dominance at play.
CC:Mkuu nikupongeze kwa uzalendo wako , now hii issue imekuwa kubwa soon inatua bungeni kwa maslahi mapana ya Taifa .
Na andiko lako limekuwa reference kwa wabunge na watanzania wengi
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Mbunge ,Zitto kabwe naye kalibeba
Mkenya Sylivia Mulinge ateuliwa kuwa bosi mpya wa Vodacom Tanzania. Je ni kweli kamba Watanzania hawana uwezo wa kuongoza makampuni haya? Mbali na kukabiliwa na kesi ya kugonga na kuua pamoja na rushwa huko Kenya, Mulinge anazidiwa uwezo na Watanzania wengi tu embat wangeweza kuongoza Vodacom (ambayo sasa ina wanahisa zaidi ya 40,000 wa Watanzania). Tujifunze kutokana na historia na tuone jambo hili si jema kwetu. Tukumbuke kuwa Kiwanda pekee za kutengeneza transforma nchini, TANELEC kiliwekwa chini ya usimamizi wa raia kutoka Kenya wakati kikifanya kazi vizuri, lakini kiliishia kuzalisha hasara na mwisho kufungwa. Huo ni mfano mmoja tu. Hatupaswi pia kusahau namna Kiwanda cha Bia cha Kibo (Kibo Breweries) kilivyokumbana na changamoto ya watu walafi kilipochukuliwa na African Breweries chini ya Mkurugenzi Mkuu Mkenya Gerald Mahinda. Kiwanda hicho kilianza kukumbwa na migogoro mingi kutokana na uongozi wa Mahinda uliokuwa na ubaguzi, usio na uwezo wala weledi ambapo migogoro mingine ilibatizwa “Vita ya Bia” iliyokuwa kati ya Tanzania na Kenya. Kufuatia changamoto nyingi kiwanda cha Bia cha Kibo, kilifungwa na hivyo kuuacha Mji wa Moshi na wakazi wake wakiwa hawana ajira lakini pia kupotea sokoni kwa bia maarufu Kibo Gold. Kuna familia zilirudi kwenye umaskini moja kwa moja. Tuombee yasitokee Vodacom.
Tukio la Kibo Gold limejirudia tena katika Kiwanda cha Bia cha Serengeti kilichochukuliwa na East African Breweries. Hivi karibuni East African Breweries iliwekwa chini ya uchunguzi wa Tume Huru ya Ushindani kufuatia kukiukwa kwa baadhi ya vipengele wakati wa kuichukua Serengeti Breweries. Haya ni maamuzi mabaya yaliyofanyika Jijini Nairobi na kupuuza kwa makusudi makubaliano yaliyotolewa na Tume Huru ya Ushindani ya Tanzania.
Baada ya kuchukua kiwanda hicho, jitihada kubwa zilizowekwa mbele zilikuwa kuhakikisha kwamba Tusker inapata soko kubwa nchini Tanzania jambo lililopelekea kupoteza soko kwa bia za Serengeti na kupelekea kupungua kwa hisa zake. Bia za Serengeti zilikataliwa kwa makusudi nchini Kenya na hazikupewa hadhi sawa na bia nyingine. Mbali na hilo, makubaliano ya kuchukua kiwanda hicho yalitaka Serengeti isitishe udhamini wake kwa baadhi ya vikundi vya michezo nchini, jambo lililopelekea kuporomoka kwa soko lake.
Kabla ya hayo, bia za Serengeti zilikuwa zimefanikiwa kuliteka soko kufuatia jitihada za makusudi zilizokuwa zikifanywa kuziinua, jambo lililopelekea kupendwa na wateja wengi. Licha ya kuwapo kwa ushindani mkali kutoka kwa Sabmiller, hisa zake zilikuwa zimepanda na wakati inachukuliwa na East African Breweries, Serengeti Breweries ilikuwa tayari ina soko la hisa asilimia 15 kote nchini Tanzania.
Kwa bahati mbaya, kutokana na uongozi mbaya wa East African Breweries jijini Nairobi, hisa za Seringeti zimepungua na kufika chini ya asilimia 7 kwa sasa. Kwangu, suala la kuporomoka kwa Serengeti halikuja kwa bahati mbaya, na tena ukiangalia hii ni awamu ya pili na tena baada ya kuona kuwa East African Breweries inawekeza TZS 339.1 bilioni katika kiwanda Kisumu eneo ambalo ni jirani kabisa na Mwanza ambapo kuna kiwanda cha Serengeti.
Kwangu mimi naamini hakika kwamba, kuporomoka kwa Serengeti kumekusudiwa ili kutoa sababu ya kuanzisha kiwanda cha Kisumu, na kutumia kigezo kuwa Kiwanda cha Mwanza hakifanyi vizuri, kwamba eneo hilo sio zuri kibishara hivyo kifungwe.
Matukio hayo yanayojirudia kila mara kuhakikisha kuwa wanahujumu viwanda vyetu yanaweza kuelezwa tena kwenye Kiwanda cha TANELEC kilichochukuliwa na Transcentury chini ya Mkurugenzi Mkuu, Kiuna Gachao. Kama ilivyokuwa kwa viwanda vya awali, kampuni hii ya Kenya ilipelekea utendaji mbovu wa TANELEC na kupelekea kiwanda kingine kama hicho kufunguliwa Kenya. Hatua hiyo ilipelekea kufa kwa kiwanda cha Tanzania wakati raia wa Kenya wakinufaika na ajira za kiwanda kipya Nairobi.
Habari kama hizo za kusikitisha pia ndizo zilizokikumba Kiwanda cha Maziwa cha Arusha (Arusha Diary) kilichochukuliwa na Brookside inayomilikiwa na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.
Nina wasiwasi mkubwa sana, Mulinge ametumwa katika kazi maalumu (kazi ya utume) kuhakikisha kuwa Safaricom ya Kenya inaichukua Vodacom ya Tanzania na kutawala soko lake.
Mwenye masikio na asikie.
hili andiko lisomwe kwa herufi kubwa na wale vilaza watanzania na baadhi ya wakenya waliokuwa wanadhihaki andiko la geza ulole kuhusu huyo MD.Mkuu nikupongeze kwa uzalendo wako , now hii issue imekuwa kubwa soon inatua bungeni kwa maslahi mapana ya Taifa .