Why smile?

asikudanganye huyu Doto..
Lizzy luu akikenua unaona meno ya Xmass , mwezi wa pili.......

Ananizingua eee. Nimeona post yake ya utundu anaotakiwa kufanyiwa mupenzi pale unapotaka kumwonyesha unamhitaji 6by 6. Sasa km anapractice ile kitu and NO SMILE. Nina question marks kwa Lizzy
 
Ananizingua eee. Nimeona post yake ya utundu anaotakiwa kufanyiwa mupenzi pale unapotaka kumwonyesha unamhitaji 6by 6. Sasa km anapractice ile kitu and NO SMILE. Nina question marks kwa Lizzy
Hahahahaha. .
Mi hua naSMIZE. . natabasamu kwa macho.
 
Smile smile smile and smile! U will live longer!
 
hili jukwaa bwana! Linanifanya kusmile always ila shuguli zangu zinasimama! Boss kawaka ila mie nasmile tu huku!
 
Ha ha ha ha. Lizzy bwana.
That why i like you.
Tabasamu la jicho ndo lenyewe ati.
Hahaha asante Koku. . .right back at ya.

Ehhh kwahiyo nyie endeleeni na yenu na mimi naendelea kuwakamata na hii yangu.
 
hili jukwaa bwana! Linanifanya kusmile always ila shuguli zangu zinasimama! Boss kawaka ila mie nasmile tu huku!

Safi saaana, hata BOSS akikumind. UNASMILE
 
Hahaha asante Koku. . .right back at ya.

Ehhh kwahiyo nyie endeleeni na yenu na mimi naendelea kuwakamata na hii yangu.

Imetulia. Sanntee kushukuru.
 
Ina maana hata kubeba mtoto hajawahi?? Manake katoto bana.....kakitabasamu/kucheka basi na we unajikuta unatabasamu pia!!!

Kweli kabisa Kpp, yaani lazima utabasamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…