Mademu mbona wanazimika sana nyoya kama hilo inawapa urahisi si lazima ahangaike kuzifuata maeneo.Na tukija kwenye suala la msingi kwani hizo nyele ndo zinamega?
Let him enjoy bana!
Hii picha inanitia shaka, kuna sehemu ukizitizama ni nyeupe zaidi ya sehemu nyingine za mwili, angalia sikio, vidole na pale juu kidogo ya makalio. Hii tofauti ya rangi sehemu moja kuwa dark na nyingine kuwa nyeupe inaonyesha makeup imetumika na kisha manywele bandia ya kiwandani yakabandikwa mwili mzima.