Why Tanzania is among the leading in multidimensional poverty in Africa?

Don YF

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2014
Posts
10,494
Reaction score
9,854
While Kenya has pathetic slums in some segmented areas of its cities, the population in these slums iko wazi and any one can access. In general the number is even smaller in relation to the total population. In Tanzania the reason why they are mentioned as the country with big number of people living in extreme poverty in EAC, (maybe they will become second if Ethiopia joins which is second to Nigeria., followed by DRC.), poverty kwao ime spread kutoka 70% in Dar hadi mashambani, nimepekua research reports kadha and the findings on the situation kwa ground.

Pia ukisafiri kwa gari, ingilia sirare border then drive all through, maisha ya watu ni duni sana, poverty is too visible. Look at some of the captured lifestyle across Tanzabia from towns to villages; across, underdevelopment is evident.

Tazama hapo chini hali kamili ya raiya wengi wa Tanzania, why they are mentioned as suffering from multidimensional poverty, it is not in segments, it is because it affects most areas of their lives and is spread across the country.

Kisha kuna documentary ya BBC vile wanawake wanateseka kutafuta maji kutoka mbali na makao yao na vile ni hao tu wanashughulikia familia zao(yani ni bread winners) ilhali wanaume wengi wamezembea, kazi yao ni kuzaa, na kulea inawalemea. Will drop that documentary here once I get hold of it.

My take Tanzanians should accept their condition, wake up and work to rise above the challenges. Now that it is almost becoming a middle income, wakiweka poverty ranking wata measure na $3.2, not below $1.9 ya LDC, basi Tz inaeza kua 90% below poverty if they use $3.2 ya lower middle income!

Kenya is open Tz is closed and lives in denial.

 

Attachments

  • images-77.jpg
    7.3 KB · Views: 2
Subiri kidogo kuna wapenzi wa mtaa flani wanakuja kukushambulia.
 
Effects of poverty in Tanzania

 
Subiri kidogo kuna wapenzi wa mtaa flani wanakuja kukushambulia.
In Tanzania hali duni iko spread across, hapa wengi wanashangilia vipicha vya Dar, sijui brt, sgr n.k. kisha wanarudi kwa these residentials; pale hilsides za temeke, mbagala., na areas kadhaa, the bigger part of Dar hali ni duni which is a replica ya the whole country., Kenya has pockets of poverty, Tanzania ni ocean of poverty.

Huku ndio mtaa ya watanzania wengi humu jf, you can easily tell by their reasoning..,

View attachment 1490239
 
How the bigger percentage of Dar looks like, and life there., ni kama ushago., from aerial view it is like only 10% of the whole 1600km sq ya Dar has meaningful development., very few organized residentials from aerial view kama Nairobi.

Observe...
 
Picha za Turkana na Naivasha nchini Kenya. Tanzania hatuna watu wa hivyo, we are middle income country
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani mido income[emoji23][emoji23]
 
Picha za Turkana na Naivasha nchini Kenya. Tanzania hatuna watu wa hivyo, we are middle income country
Lakini pia napenda mashambani kule Tz, watu ni watulivu, wakarimu na humble. Ila serikali itie juhudi za kuinua maisha, wameweka nyaya za umeme lakini wengi hawana uwezo wa ku connect kwa nyumba zao.,
Ona jamaa alivyo relax juu ya baiskeli yake aki ride mdogo mdogo kuelekea nyumbani.,
 
Teh teh..unapenda kujifariji wewe. Sasa maisha ya Sirari utafananisha na ya pale Lodwar au Lokchar?

Anyway weka hapa hizo reports ulizopitia.
 
Inatia huruma, wao huja na picha za zile ghorofa tatu za Dar wanaona ndio basi, jamaa wana umaskini hatari sana wale, ukiingia huko mikoani ndio utahisi hali halisi.
 
Yosef Festo na MK254 mbona wachokozi, Tz nchi imebarikiwa sana, hizo picha za huko kwenu Kenya. Leo nimeona makahaba wakijiuza mchana
 
Tukilaumu serikali yao wanasema tunaonea CCM ama wanasingizia eti wao walikua wanakomboa nchi za Africa., Rwanda na Angola wametoka vitani majuzi tu, lakini wamepiga hatua kubwa kwa muda mchache sana ukilinganisha na Tanzania, though bado umaskini uko kwa wingi lakini progress iko, so Tanzania hawana excuse.
Inatia huruma, wao huja na picha za zile ghorofa tatu za Dar wanaona ndio basi, jamaa wana umaskini hatari sana wale, ukiingia huko mikoani ndio utahisi hali halisi.
 
Unakumbuka wakati ule wakikata utepe kuzindua lift!?🤣🤣
Inatia huruma, wao huja na picha za zile ghorofa tatu za Dar wanaona ndio basi, jamaa wana umaskini hatari sana wale, ukiingia huko mikoani ndio utahisi hali halisi.
 
Kenya kuna poverty, tena mbaya sana, but in particular areas due to bad politics and marginalization, sisi hatupingi, slums in some sections of our cities hatukatai, Tz poverty is spread across why??., ukienda kila kona lazima upatane na umasikini wa kutupwa., Kenya kuna sehemu nyingi unaeza tembea ukakosa kuona masikini., na pia kuna sehemu unaeza ona walala hoi ukashangaa., but not spread kama Tz.,
Teh teh..unapenda kujifariji wewe nyang`au. Sasa maisha ya Sirari utafananisha na ya pale Lodwar au Lokchar?

Anyway weka hapa hizo reports ulizopitia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli imebarikiwa nakubali ila wengi wenu hamuoni hizo baraka ama hamuna uwezo wa ku exploit kikamilifu ili iwafaidi.,
Tanzania is blessed, hope you will wake up and take advantage.
Yosef Festo na MK254 mbona wachokozi, Tz nchi imebarikiwa sana, hizo picha za huko kwenu Kenya. Leo nimeona makahaba wakijiuza mchana
 

Pia kenya kuna maeneo unaweza kutembea usione mkenya hata mmoja! Ni wageni tu hakuna anaeweza kukatiza.

Tanzania hakuna umasikini huo unaouelezea hapa. Tukifananisha masikini wa kenya na masikini wa Tz ni mbingu na ardhi! Hapa masikini anamiliki mashamba na mifugo na nyumba ambayo ndio inaweza kuwa haina viwango sana. Sasa masikini wa kenya ana miliki nini? Si ushuzi tu
 
Sehemu gani utatembea ukose mkenya? Wacha wewe[emoji23], masikini ni masikini, wewe unaangalia picha za slums kisha una conclude[emoji23] na haujui uwezo kamili ya some slum dwellers., poverty is poverty, na wale wanao ishi kwa extreme poverty Tanzania nyie ndio bingwa., lakini najua hili litapungua, mostly raiya wakijituma, Tz is no longer ujamaa country, kwa sasa nyie ni mabepari kama Kenya, ukizembea utabaki kua masikini ata uchumi wenyu ukipaa. Ni bidii ya mtu binafsi.
 
Yosef Festo na MK254 mbona wachokozi, Tz nchi imebarikiwa sana, hizo picha za huko kwenu Kenya. Leo nimeona makahaba wakijiuza mchana

Madanga mbona wapo kote hata humu JF, haujalijua hilo, nenda huko Tandale uone dada zako wanavyoshikishwa ukuta kwa buku tu ya kibongo.

Naskia yule mzee wa Kimaasai bwana Laizer aliyepokea bilioni kwa ajili ya Tanzanite, madanga hawampi nafasi, wanamzingua kinoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…