Why Tanzania needs a New President from 2025

If the president will come from the same party then we don't need a new one, let her finish what she started, 2030 is not very far.
 
Yes we need a new President,
and that is none other than Dr.SAMIA SULUHU HASSAN, able and determined leader on the earth who is very committed to address issues of promoting national unity, issues of consolidating democratic reforms in the country, who is not hesitating to take disciplinary and legal measures on issues of corruption and controller of government expenditure for broad benefit of all Tanzanians.
The implementations of all these will be done under the umbrella of Reconciliation, Resilience, Reform and Rebuilding.

Tanzania is safe economically, politically, socially, Culturally, Scientifically and Technological spheres of life, under this Mama....
 
Yani wakenya watuamulie sisi , ukiona hivyo samia anafaa kuendelea, ukiona kwenye mechi ya mpira timu pinzani haimpendi mchezaji wako ujue huyo mchezaji wako ni mwiba kwa timu pinzani
Una maanisha waTanzania wanampenda "...na hilo nalo mkalitizame"
 
Chawa wengi ni akina Bashite.
Sasa hiki kizungu unatuletea shida mkuu!
 
Kwa hiyo sote tukufe! Sasa kutakuwa na nchi inaitwa Tanzania hapo?

Vv
Maana yangu si wananchi wa sasa wafe.

Maana yangu wananchi wa sasa wajiongeze, wawe Watanzania wapya, Watanzania wenye elimu sahihi, wanaoweza kusimamia mambo yao na kuuwajibisha uongozi inavyotakiwa.

Bila ya Watanzania wapya hawa, hata tukipata rais mpya naye ataturudisha kwenye matatizo na huyo naye tutamlalamikia.

Kama tulivyowalalamikia Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa Hassan.

Quality ya uongozi ni matokeo ya kazi za wananchi.

Sasa tatizo Tanzania tunataka kubadilisha kibao na kusema quality ya maisha ya wananchi ni matokeo ya uzuri wa uongozi.

Rais hata awe mzuri vipi, akiwa anaongoza taifa la watu wajinga wasioongozeka, atachoka tu na yeye aishie kuwa mpigaji, atapata development fatigue.

Ila, kama wananchi wana elimu nzuri na wanasimamia wanachokitaka, hata rais awe muhuni vipi, itambidi tu atekeleze anayotakiwa kutekeleza na wananchi, ama sivyo atatolewa kwenye urais.

Jinsi Watanzania wengi wanavyoangalia matatizo na kutaka wapate kiongozi mzuri awamalizie matatizo yao, ni sehemu kubwa ya matatizo yao.
 
Hizi 'tabia mbaya'ni lazima zipate mtu makini kuzishughulikia!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 

Nilikuwa mpinzani wa Rais Samia ila kwa sasa Niko upande wake.

Aisee amerudisha matumaini ya ajira.
 
Kabla ya awamu ya 6 ulikuwa huwezi Kuta public School za aina hii hapa 👇
 
samia she's misfit to the position.Weak,despotic and kleptocratic leader hides her true color through headscarf.
 
And that president is definitely not Samia.

Samia is a perennial failure .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…