Why Tanzania needs a New President from 2025

Fact figures? Ndio maana nakuambia nachukia watu kama nyie mnaoleta fact figures zisizo na uhalisia.

Hivi umeona mtanzania gani anaona maisha yanazidi kuwa mazuri kutokana na kukua kwa uchumi?

Tunaambiwa uchumi unakuwa, mara tupo uchumi wa kati lakini in reality quality of life ya watanzania is on the down spiral.
 
Kuna Rais aliyemshida Samia Kwa ubunifu? Unajua hata vigezo vya kumpima Rais wewe? Au unaropoka tuu kisa matamanio Yako binafsi?
Kabuni nini kama ata uzito wa katiba iliyomuweka madarakani hajui,anaiita kijitabu!
 
Kabuni nini kama ata uzito wa katiba iliyomuweka madarakani hajui,anaiita kijitabu!
Kuhusu Katiba utaongea hadi unakufa ni mpaka ccm waamue.

Uwe unafuatilia mambo sio kuropoka wakati hujui.
-Bandari ya Uvuvi Kilwa
-Mageuzi ya Kilimo Cha umwagiliaji
-Kaimarisha Huduma za Afya(Tzn Sasa inaongoza Kwa Medical Tourism Afrika Mashariki)
-Anaendesha Diplomasia ya Uchumi (Sasa hivi Mikutano ya Kimataifa haikUki Dar, Zanzibar na Arusha),Tanzania ni namba 3 Afrika kutoka 15
-Usafiri ni 24hrs ,walioko kwenye sekta ya usafirishaji wanapiga pesa na Uchumi unakua
-Anabadili mifumo ya Elimu kuanzia chekechea hadi university plus kujenga Vyuo Vikuu Mikoa yote ambayo Haina,Vyuo vya Veta Wilaya na Mikoa yote, Miundombinu Bora ya Shule Kwa Watoto ngazi zote.

Kiufupi ni endless aliyofanya ,kabla ya Samia ulikuwa huwezi Kuta Watoto wakisomea miundombinu kizuri kama hii
 
Kabuni nini kama ata uzito wa katiba iliyomuweka madarakani hajui,anaiita kijitabu!
Kuhusu Katiba utaongea hadi unakufa ni mpaka ccm waamue.

Uwe unafuatilia mambo sio kuropoka wakati hujui.
-Bandari ya Uvuvi Kilwa
-Mageuzi ya Kilimo Cha umwagiliaji
-Kaimarisha Huduma za Afya(Tzn Sasa inaongoza Kwa Medical Tourism Afrika Mashariki)
-Anaendesha Diplomasia ya Uchumi (Sasa hivi Mikutano ya Kimataifa haikUki Dar, Zanzibar na Arusha),Tanzania ni namba 3 Afrika kutoka 15
-Usafiri ni 24hrs ,walioko kwenye sekta ya usafirishaji wanapiga pesa na Uchumi unakua
-Anabadili mifumo ya Elimu kuanzia chekechea hadi university plus kujenga Vyuo Vikuu Mikoa yote ambayo Haina,Vyuo vya Veta Wilaya na Mikoa yote, Miundombinu Bora ya Shule Kwa Watoto ngazi zote.

Kiufupi ni endless aliyofanya ,kabla ya Samia ulikuwa huwezi Kuta Watoto wakisomea miundombinu kizuri kama hii View attachment 2799372View attachment 2799373View attachment 2799374View attachment 2799375View attachment 2799376View attachment 2799377View attachment 2799378View attachment 2799380View attachment 2799381
 
She is very weak and corrupt
 
MAMA SAMIA mpaka 2035 hutaki hamia Burundi

Mama hoyeeee
 
We More need a white of(Germany descendants particularly Hitler clan) colonial Master rather than the so called President.
 
Unproportional distribution of resources between the mainland and isles is exploitation to mainlanders
 
  1. Terrifying levels of orruption
  2. Worsening of Human Rights
  3. Lack of Good Governance
  4. Abduction of elections proccess by Government to assist CCM
  5. Political intorrerance that resulting to the enactments of stern laws that threaterning patriotism
My points in addition
 
Is this your Election Manifesto 2025? Who are you? Give us a bit of history, please. Is It the same Manifesto as 2020 and 2015? How were you received in terms of votes? Au ni blablabla za wishful thinking and pipedreaming?
 
You have mentioned the real challenges, but how do address them? It’s not by removing the president from power, unless she’s also another challenge.
 
Noted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…