Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Nikisikia hii kauli najiulizaga WTF?
Labda umesikia kauli kama hizi youtube, kwene website au social media
Lakini ukweli ni kwamba waafrica wengi na viongozi wengi ni kina TIP TIP
Asiejua historia Tip tip alikua kinara wakuuza wafrica wenzie kwa waarabu.
Mgogoro huu wa CONGO una miaka zaidi ya 30 ! Lakini waafrica na nchi za africa hazijali wala hawana habari.
Hata sanction tu wanafanya wazungu baada ya kuona wameua wamechoka sasa aibu inawaingia.
Kuna nchi yyte Africa ilisha wasaction viongoz wa makundi ya waasi?
Ni nadra sana usikie viongozi yyte wa Africa akiongelea ukweli wa kinachotokea KONGO.
Ukiacha rais wa CONGO ambae ametaja moja kwa moja na kuwatuhumu wanao ua raia wake kisa madini kwa kusingizia propaganda za kikabila.
Ni rais gani ushawai msikia akiongelea au akihutubia?
Labda utasema ni diplomasia
Ukiacha Tanzania,Malawi ,na south Africa zilizotuma wanajeshi wake kwenda kongo kuwaokoa raia kutoka kwene mikono ya mercenaries wa kikoloni wanaotumiwa kuua waafrica wenzao.
Nchi nyingi hazina hata mpango wala kujihusisha na hili.
waafrica mastaa au watu maarufu nao wako kimya wala hawajishuhulishi lakini cha ajabu hawa hawa ambao jirani zao tu waafrica wenzao wanachinjwa kama kuku ndio kila siku wako na FREE PALESTINA
si vibaya ila kama kwako kunaungua utaenda kuzima moto wa jiran kabla kuanza na kwako.
Nchi hizi hazijawai kua na msaada
Kenya
Angola
Botwasana
madagascar
zambia
zimbabwe
somalia
congo blazavile
Namibia
Swaziland
Lesotho
Wala wasanii wakubwa wa africa hawana msaada ni nadra sana ukikuta wameungana kupiga kelele.
Ishu ya Palestina waarabu wote wameungana, boycote,wasanii wote,marais wote atleast ndio maana na dunia imeunga mkono.
Lakini kama nyie hamna muamko wala hamjali hamna dunia itayojali.KUFENI TU
View: https://youtu.be/QEV81neF6ew?si=XMmqyKUBH8e9o3Cg
TOPIC
Why the world is ignoring Congo (DRC) ! Si kweli Waafrica ndio tunapuuziana kwasababu Kujichukia.