Mathias BM
Member
- Jun 28, 2012
- 21
- 3
my comment is heavy, ngoja waje potabo
Usisikilize majungu mkuu,konnie ni mtoto wa kiukweli.
Anaonekana kichwa ngumu unamuweza kweli
my comment is heavy, ngoja waje potabo
Mkuu Kongosho huyu huyu wa JF ........halafu niambie hivi kweli ni shemale?
Wa ukweli umeona garden love langu wewe??Usisikilize majungu mkuu,konnie ni mtoto wa kiukweli.
Tena mie kichwa bajuberi, haniwezi kwa chips wala Rav4Anaonekana kichwa ngumu unamuweza kweli
Chui dume naye anazaa au anazalisha??Chui na ubabe wake huwa anaparamiwa na anazaa vile vile.
Nathibitisha kuwa bishanga ana malale, mie ndo dokta wakeKongosho cam zis wei uthibitishe
tehe tehe! Everything changes except change! Unaona bhana!!