Mnaamini kwamba kwa mtindo huo mtapata someone new/different, kumbe ni walewale mnaopishana nao mitaani daily!! BTW, hakuna sehemu maalum iliyotengwa kwa ajili ya kutafutia wapenzi, so popote pale safari ya mapenzi inaweza kuanzishwa, whats important ni kuwa mwangalifu na huyo mtu mwenyewe unaempata!