Why this?

Kwasababu hawana utaratibu wa kuona kwamba walionao/walivyonavyo ni vitu vya maana kwasababu wameweza kuwa navyo. Vi/wakiwa sio vyao/wao tena ndio wanaona thamani na umuhimu wao.
 
Kuna Darlington na Darlingtone? Ama kweli kuna kaazi kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…