weee vipi kwani mwanaume ndio ana enda ku-abort sii demu. alafu kwanza woman ndio yupo responsible 100% katika kutunga kwa mimba au lah...demu kama hataki mimba ndugu yangu mwanaume atakuwa anatwanga maji kwenye kinu literally
hivi hao wanawake wanazinunua hizo mimba au wanapewa na wanaume?? usiegemee upande mmoja tu.
I would have liked to insult you, but the sad truth is that you wouldn't understand me.
hii ni kwa pande zote mbili,mwanaume asiwe chanzo cha kupatikana mimba bila mipango na kusapoti katika utoaji inapotekea ikapatikana,wanawake wkipata mimba wasifikirie kutoa bali waanze kujiandaa na kujipanga jinsi ya kumlea kiumbe huyo.