Naona kuna haja ya kulijadili ili jamani bse ni aibu.
Kwa kuanzi point zangu
I. NEC haikujipanga vilivyo kutoa elimu ya uraia the next question comes are they unfit for the job or mis used the fund given to them
II. Rai walianticipate ushindi wa CCM by anymeans ivyo hawakuona haja ya kwenda kuungua na jua kama baadhi yao walivyoojiwa
III. Baadhi ya watu kutoona majina yao kwenye vitabu uku wakiwa na vitambulisho
IV. Ufungaji wa vyuo vya ualimu kule makete na arusha
V. Kuchelewa kufunguliwa kwa vyuo vikuu
VI. .......................
Si kweli miaka yote uchaguzi umefanyika jumapili hivyo watu "wachache" kwenda kupiga kura si sababu ya kusali Jumapili suala ni kuwa idadi ya wapiga kura ni ya kughushi. Idadi ya kwenye daftari ni ya uongo na hiyo ni sababu tosha ya kuwafuta kazi Makame na Kiravu kwani ni watu wazembe na waliolidanganya taifa.pia idadi kubwa ya wakristo hushiriki ibada jpili. nalo limechangia. kama kumbukumbu ya kifo cha Karume na Nyerere tunapumzika ili kushiriki hafla ya kuwa kumbuka watu waliokwisha kufa, haingii akilini kushindwa kutenga siku za kazi kuwa ajili ya future ya Taifa. hizi ni njama za NEC kuvuruga uchaguzi kwa kuwa nyima watu muda mzuri kushiriki ibada.
Katika hali ya kawaida, katika maeneo mengi, idadi ya watoto ni zaidi ya mara mbili ya watu wazima.
Kwa hali hiyo, ikiwa waliojiandikisha kupiga kura ni 20m basi idadi ya watu wote ni zaidi ya 60m.
Kuna ulazima wa kuhakiki Daftari la wapiga kura ili kuondoa mapungufu yaliyopo!