The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 258
Jamani kuna habari kuwa kuna baadhi waajiri siku hizi wameweka msimamo kuwa eti wakati wanatangaza ajira,wanawatenga wasomi wetu wa chuo tukipendacho cha Dodoma!kama habari hii ni kweli,mnataka vijana wetu waende wapi?
Kweli kabisa, maelezo hayajitoshelezi. UDOM inasakamwa bure tu! Mbona ina majengo mazuri tuu?! tena mapya yanang'aa! ee?leta ushahidi
Jamani kuna habari kuwa kuna baadhi waajiri siku hizi wameweka msimamo kuwa eti wakati wanatangaza ajira,wanawatenga wasomi wetu wa chuo tukipendacho cha Dodoma!kama habari hii ni kweli,mnataka vijana wetu waende wapi?
Kweli kabisa, maelezo hayajitoshelezi. UDOM inasakamwa bure tu! Mbona ina majengo mazuri tuu?! tena mapya yanang'aa! ee?
wapi na gazeti gani?na walitoa sababu gani?sidhani kama kuna mtu anaweza kutangaza kazi akaweka exceptiona l ya udom..tatizo ni nini?ubora wa elimu au?kutambulika kwa chuo kimataifa?sababu za kisiasa?tunataka tufafanuliwa ili tujue sababu ni ipi tuweze kuchambua kwa weledi...Kweli hii ishu nmeshaishudia kwa macho kuna job vacancy zlitangazwa kwnye gazet with exception of Udom graduates
gazeti gani huo ni unafiki coz wanaosoma pale ni jamaa zetu sasa mkianza kuongea majungu kwa mambo ambayo hayapo ni kuaribiana future. Mi nahisi watu naofia Udom kuwafunika ndo maana wanaleta scandal za uzushi. Achen hizooo.Kweli hii ishu nmeshaishudia kwa macho kuna job vacancy zlitangazwa kwnye gazet with exception of Udom graduates
gazeti gani huo ni unafiki coz wanaosoma pale ni jamaa zetu sasa mkianza kuongea majungu kwa mambo ambayo hayapo ni kuaribiana future. Mi nahisi watu naofia Udom kuwafunika ndo maana wanaleta scandal za uzushi. Achen hizooo.