Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
jamani...kwa wanafunzi wa udsm....na wafanyakazi wa hapa ....chuo kikuu.....kuna vibusi ambavyo vimeletwaa kwa ajili ya kutoa huduma kwa wanafunzi na wafanyakazi tokea chuo....mpaka mabibo hostel...na sehemu zingine tofauti katika jiji la dar es salaam.....ila nashangaaa kwanini ...watu wanalipa nauli kama kwenye daladala....wakati ni mabasii ya shulee