why udsm...school bus....watu wanalipa nauli..ya usafili ..wakati its school bus.....

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
jamani...kwa wanafunzi wa udsm....na wafanyakazi wa hapa ....chuo kikuu.....kuna vibusi ambavyo vimeletwaa kwa ajili ya kutoa huduma kwa wanafunzi na wafanyakazi tokea chuo....mpaka mabibo hostel...na sehemu zingine tofauti katika jiji la dar es salaam.....ila nashangaaa kwanini ...watu wanalipa nauli kama kwenye daladala....wakati ni mabasii ya shulee
 
kwani wewe ulilipia wakati wa kujiunga
 
Aliyekuambia ni ya chuo ni nan?
 
Yale mabasi sio ya chuo, ni huduma iliyo andaliwa ili kurahisishia wanafunzi usafiri. Badala ya kutembea muda mrefu na kugombea basi..linakufuata hapohapo chuoni na unachangia kiasi kile kile....
nahisi ni aidia nzuri sijui wewe unaionaje?
 
chezea shuttle wewe hata ma sisterdo wanagombania hahahahhhhh:A S 11:
 
Yale mabasi sio ya chuo, ni huduma iliyo andaliwa ili kurahisishia wanafunzi usafiri. Badala ya kutembea muda mrefu na kugombea basi..linakufuata hapohapo chuoni na unachangia kiasi kile kile....
nahisi ni aidia nzuri sijui wewe unaionaje?

wafanye free....uongozi wa chuo ndo walipie... mabasii
 
wafanye free....uongozi wa chuo ndo walipie... mabasii

kwa nini uongozi wa chuo ulipie? Halafu hii id ni kama namfaham mwenye nayo, vinginevyo umepaste na kuedit. Npm nitakutajia jina kama nitakuwa nimekosea bahati chafu
 
First yr huhitaji kumuuliza,Unaonekana tu. Cjui upo course gani ila ukibahatika kusoma BA.PSPA MKandala atakufundisha kuhusu Out-sourcing ambayo ina lengo la kupunguza complexicity or centralisation.
 
Hakuna free lunch wewe katika ulimwengu wa sasa!
 
first yr huhitaji kumuuliza,unaonekana tu. Cjui upo course gani ila ukibahatika kusoma ba.pspa mkandala atakufundisha kuhusu out-sourcing ambayo ina lengo la kupunguza complexicity or centralisation.

ndio tatizo la kumeza' .....pspa pure ndio nini? Mkandala au mukandala, pumbaaaavu.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…