why udsm...school bus....watu wanalipa nauli..ya usafili ..wakati its school bus.....

Tupo kwe ubeberu kijana sahau huo ujamaa unaowaza!kwani hata hayo magari unayoyaona ya shule hapa mjini unadhani wazazi hawalipii?
 
wew inaelekea husom hapa mbana hzo gari c za chuo ni za mtu binafsi tu, wew toka lin kukawa na utartatibu mzuri hivyo kwenye gvmt insttn
 
wew inaelekea husom hapa mbana hzo gari c za chuo ni za mtu binafsi tu, wew toka lin kukawa na utartatibu mzuri hivyo kwenye gvmt insttn

Huyu ni first year akisimuliwa stori kuhusu udsm hapo zamani basi anaileta kama alihusika...shenzi
 
Yale mabasi sio ya chuo, ni huduma iliyo andaliwa ili kurahisishia wanafunzi usafiri. Badala ya kutembea muda mrefu na kugombea basi..linakufuata hapohapo chuoni na unachangia kiasi kile kile....
nahisi ni aidia nzuri sijui wewe unaionaje?
Nafikiri huyu ameshakuelewesha si kila School Bus ni la shule au chuo husika.otherwiseNawapongeza viongozi wenu ni wazo zuri
 
We MBULULA,izo co xul bus,ha ha ha 1st yr wewe? Ha ha ha ha,izo shato binafsi..pole sana dogo,
 
Hii ni sifa moja ya shule za kata zinapatikana mbali sana na makazi ya watu, njoo kwetu hebu ona hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…