Why Uganda will dump Kenya's SGR for Tanzania's

Even to Rwanda u just need an ID and they have dumped you ..
Hiyo no jana Prof mbalawa waziri wa ujenzi alipo tembelea mradi. Mwaka huu mtatafuta mchawi. Today I will deal with you. More picture coming soon
 
Watanzania wenzako hao.
Ujinga kama huo unaoonyesha humu, ndio unaopelekea TZ kuwanyang'anya miradi muhimu na yenye ushawishi kwenye ukanda huu.hayo ni mawazo ya mtu binafsi, na sio kutoka kwa expert nyanja yoyote.ndio maana nimekwambia hiyo sio kutoka kwenye official source ambapo expert analysis Inakuwa included.so bro argue like a great thinker.
 
U can never have Uganda ...those are our brothers and sisters going to UG u just need an id
Undugu Wa Kenya na Uganda umeanza lini? Tukija kwenye fact ya undugu nyie afrika hamna ndugu labda ndugu yenu ni Marekani

Kadi ya undugu ikitumika , M7 ataulizwa , Do you remember ,Nyerere , M7 atasema yes Mr President , Hapo tutakuwa tumemaliza Kazi

Awaken Giant Wa EAC yuko kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…