Why wanawake hawapendi serious things?

Hii thread inafurahisha, sijui kuwa serious inamaanisha kusoma mwanahalisi?

Mimi nasoma yote kasoro udaku esp Shigongo's copied stories niliacha kuzisoma 5yrs back, ila sina uhakika kama nikisoma magazeti kama dailynews nakuwa 'serious'

Mimi ni mshabiki wa Yanga na Man U, na si tu naangalia Chereko, bali I ensure ile 'wedding show' ya the citizen nimeiangalia pia!

Huu ndio mwaka pekee sijaangalia Bigbrother..ila kila BB launch mimi hufanya BBQ kwangu kusheherekea launch ya senseless show which makes sense !!

Hizo latino movies kama barbarita sikumbuki ilikuwa inaitwaje lakini a hit in 2004 naikumbuka sana nilikuwa never miss mpaka mtoto nilitaka kumuita tonito...another non serious show!!! Ila pia naangalia all money shows (mchaga na pesa ) who wants to b a millionaire, deal or no deal? The weakest link...

Huku MMU, siasa na hoja mchanganyiko kote nachangia, ila wakati mwingi nasoma comments zaidi kuliko kuchangia...
 
mkuu naomba nikurekebishe kidogo c.o wanawake sema mabint au wadada..wanawake unakua unamjumuisha na mama yako pia na nisikweli yuko tht way
 
Ndio maana wengi wao akili zao ni fupi kama vibajaj. na yale madraya ya salon ndio yanachangia kufanya wanawake wawe na akili ndogo, nakupa mfano hai, ukienda mahotelini ukaingia toilet, then ukanawa mikono si ni lazima utaikausha na draya? sasa binadamu anatundika kichwa chake kila wiki kwenye hayo madraya kwa masaa je kuna akili itasalia hapo?
 
Huo mfano wa kichwa na mikono wapi na wapi!???Mikono inaathirika vipi mpaka uzanie kwa kichwa madhara yatakua makubwa kwasababu ya muda wa kukaushwa kwa dryer?!
 

hii topic ya lini? nataman niprint nibandike hapa ofcn kwe2, pia kuna wanaume wanatabia hz, unakuta m2 anakuja kukuuliza et umeangalia marchui jana..? agrr
 
toa hoja na si matusi ya rejareja
 
Shindwa na ulegee Komedy kuna mwanamke? Shigongo ni mwanamke?Toka hapa muone vile

Comedy!? naona hapo mkuu kakosea maana mie ni mpenda comedy sana na hata napenda sana Desperate housewives na i can't wait to see next episodes in season 8. It has got nothing to do with feminine-hood. lol!!
 

Don't take life TOO SERIOUSLY... It's not permanent..!
 

Kwenye bold Nakupongeza Nsiande... U have a passion for beautiful things..!
 
sasa bwa'shee wakiwa serious sana c tutawaita jike dume au? sie wenyewe tunaanza kuharibu na kuwafanya wasiwe 'serious'
 
Utafiti wako una matatizo.Kwanza umesahau kwamba kuna kitu kinaitwa "hobbies",mfano mimi:Napenda mziki lakini siendi kwa psq.ila makiriri nitaenda kwani napenda traditional music,kwenye udaku nafuata hadithi fulani fulani japo lazima nisome mwananchi or guardians na mwanahalisi kwani napenda siasa pia ila sipendi kuwa mwanasiasa.Sishiriki mijadala ya siasa hasa ya nchi yetu kwani inanipa machungu always japo naangalia tv vipindi kama kongamano la mchakato wa katiba na azimio la arusha,uchumi wetu,malumbano ya hoja,ngoma zetu.Nashiriki matembezi kama walk the world kuondo njaa mashuleni kwani naguswa sana na watoto wenye shida.Nilisoma sayansi na nilitoka na CBB in Biology,chem & phys respectively.
Mama serious,baba serious,heeee???we need to balance.Nyumba si itakuwa kama kambi ya jeshi,wazazi mkiingia watoto wanakimbilia vyumbani
 
halafu wanapenda sana kudanganywa duh!
Si kweli,ni kwamba kwa jinsi ambavyo wanaume huwa hamko organised na mliojaa vimbwanga(japo si wote)mnajua kabisa mkiwa wakweli mtakataliwa/kuachwa.
 
Tena uache kudharau na kudhihaki kazi za wenzio,unaposema za kipuuzi una maanisha nini?kwamba ufanyayo wewe ndio ya maana au??Hatukatai bado wanajifunza,na wametokea mbali but kama si hobby/kazi yako,usiite upuuzi.Ndio nyie mnaosema mtu kuwa mwanamziki ni uhuni while mmejaza music CDs majumbani mwenu.
 
mbona mi nipo kinyume cha hayo mambo highlighted in red, au miye si mwanamke? Mbona ume generalize mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…