Why women are so complicated?

Mama Mia huu mchezo wako unafanya tukuone kituko.
Ile habari ya Makamba kukimbia kiti cha ndege bado tunaikumbuka mwanahalisi.

Halafu ungetarajia aliye nyuma ya jina Mama Mia ni mwanamke kwa jina lilivyo, na hata utaona anasema "nimeolewa".
...Unanufaika vipi kwa effort yooote hii?!

.
 
kwa kweli hawa wadudu kakananii wakati mwingine wanatia kichefuchefu. sijui wana mapepo! wakati mwingine unaweza ukashindwa kuwaelewa kabisa. waweza kumpa kila kitu na kumheshimu lakini asikuelewe. hawa viumbe ni wa ajabu sana kusema kweli.

Please watake radhi wanawake wote akiwemo mama yako na shangazi zako
 
...hata kitabu ukishajua kinavyoishia, utamu wa kukisoma unaondoka.

Bora hivyo hivyo wasivyoeleweka eleweka, inasaidia 'maisha msisimko' kila siku ya mwenyezi mungu inayopita!
 
Hii mpya!
Kipimo gani ulitumia ndugu?
 
Hi wewe tpaul, hukuzaliwa na mwanamke? Kweli unaweza muita mama yako mdudu? Shame on!

Umenishangaza sana, so mama yako ni mdudu kwa mumwe, shangazi yako ni mdudu, bibi yako ni mdudu, dada yako ni mdudu

kwa kweli hawa wadudu kakananii wakati mwingine wanatia kichefuchefu. sijui wana mapepo! wakati mwingine unaweza ukashindwa kuwaelewa kabisa. waweza kumpa kila kitu na kumheshimu lakini asikuelewe. hawa viumbe ni wa ajabu sana kusema kweli.
 
Si ndio maana Mungu alisema muishi na sisi kwa akili, tuzoeeni tu jamani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…